my ex wangu na my friend wangu

Unless kuna kitu cha hatari sana ambacho anacho ama anafanya huyo dada, its none of ur damned business. Usije ukajigeuza PR wa huyo dada. Kesho ukimuona na mtu tena utaenda kujieleza ama? Hebu log off baba!
Hakuna shaka bi dada nitalog off kimya kimya. Nalog off
 
halua haina makombo, na wala haipungui utamu. Mwache best wako ajipatie kisima cha burudani, si wewe ulishindwa? Unalalamika nini?
Bi dada mie silalamiki ila nachoogopa ni kumnyima raha mshikaji endapo atakapojua ya kuwa kumbe na mimi nimeshapita. Nalog off
 
Kama demu kaukwaa tayari mwambie mshikaji,kama bado uchubue mshikaji agonge mzigo,nawe siku ukizidiwa na oil rudi kwa huyox upunguze kidogo,Tunagawana umaskini,usijipe pressure kaka.
Hahahaha aminia nitauchubua ili tuendelee kugawana umaskini. Nalog off
 
Wakati ukisema, wanini huyu.?...................mshajaki wako akajibu.....................atampata lini? ................ndo wameshapatana waachie waenjoy!.
 
Habari za jumamosi waungwana wenzangu,nafikiri wote mko safi mnaendelea na shughuli za kila siku,jana nilikwenda bar kufurahisha macho kidogo na kupiga stori na wabongo wenzangu,basi kuingia katika ile bar nikamkuta rafiki yangu yuko pamoja na ex wangu ndio wanaikamua Ijumaa,mzee nikawasalimia na nikaendelea na zangu,sasa najiuliza nimwambie mshikaji kuwa pale mimi nimeshapita au niuchune? je mshikaji akija kujua kama mimi nilipita na nimeuchuna sijamwambia kitu halitokuwa tatizo? Nalog off
Hayakuhusu wala hayamhusu mambo ya kwako wacha yawe ya kwako,zaidi ya hapo utakuwa ni umbeya,unataka umwambie ili iweje,hata akija jua pia hawezi kukulaumu kwani wewe ulianza kabla ya yeye,na alipomtaka huyo bibiye hakuja kwako kukutaka ushauri kumbuka huyo ni rafiki yako(?)pia nashangaa kweli kama huyo ni rafiki yako sababu angejua uhusiano wako na huyo ex wako
 
huyu my ex wangu tulimwagana mwaka 2009 na huyu rafiki ndio kaja mwezi wa 7 mwaka huu,kwahiyo hawezi jua yaliyokuwa yakijiri kabla ya yeye kufika.Nalog off
 
Umeumiiiiiiiiiiiiiiiiiia, Me nimekuelewa Washawasha.
We chubua tu msela aendelee kula Mzigo ado ado.

PS: We umejuaje kama msela anamega, no wonder walienda hapo kwa issue nyingine,all in all Vp ile issue yangu na my wife wako?
Na login
 
hapana sijaumia mkuu,ila ile ishu na my wife wangu ni kwamba kanielewa bila chenga,nimejua kama jamaa anamega kwa ile mishemishe ya kukumbatiana na madenda bila chenga.Nalog off
 
Back
Top Bottom