My ex has stopped to be a man....nimfanyeje?

The guy has stoped to be a man kwa kweli! Though Tumeachana muda mrefu na kila mtu akawa na mahusiano mapya ananiharass! Nilipata mtu mwenye pato dogo kuliko la ex wangu ni fundi cherehani ana ka-workshop kake wakati ex alikuwa kazi nzuri, pato zuri na kagari. Jana from no where ameanza kunitumia msg kuwa hapati ucngz na ananipenda ila ako na msichana mdogo mdogo amepachika tatoo kila mahali zimeandikwa jina lake. Eti ananisikitikia kwa kujishusha hadh kutoka kulala hotel nyota tano mpaka gest za elfu 10, anataka kujua huyo fundi cherehani ako na nini kumzidi? Nilimjibu kuwa am happy with my man though he isnt rich na pia nafurahi kuwa amepata binti dogo dogo aliejichora jina lake kila mahali...nilipomjibu hvo akaanza kuniambia nina nyodo na kiburi na msg zangu zote pamoja na picha tulizopiga pamoja atazibandika hapa jf, fb na kwa notes board ya ninaposoma. Pia atazifanyia photo shop za wadada walio uchi aweke sura yangu aone nani ataumia kati yetu. Nimebaki na mawazo je kilichomtia hasira mpaka aje anisumbue na kunikashfu ni nini? Je wanaume mkiachwa na nafasi zenu kuchukuliwa na watu mliowazidi hasa pato inawakera eeh? Je akijaribu kuniphotoshop nimfanyeje? Nipeni mawazo wakuu...! Nyc weekend
kesi nzuri hiyo, nenda kituo cha polisi kilcho karibu nawe, lakini mahalimwafaka nenda kwa makachero wa mkoani kwa RCO, wale watafungua jalada la cyber crime, halafu kazi itaanza. toa taarifa ikusaide baadaye
 
The guy has stoped to be a
man kwa kweli! Though Tumeachana muda mrefu na kila mtu akawa na
mahusiano mapya ananiharass! Nilipata mtu mwenye pato dogo kuliko la ex
wangu ni fundi cherehani ana ka-workshop kake wakati ex alikuwa kazi
nzuri, pato zuri na kagari. Jana from no where ameanza kunitumia msg
kuwa hapati ucngz na ananipenda ila ako na msichana mdogo mdogo
amepachika tatoo kila mahali zimeandikwa jina lake. Eti ananisikitikia
kwa kujishusha hadh kutoka kulala hotel nyota tano mpaka gest za elfu
10, anataka kujua huyo fundi cherehani ako na nini kumzidi? Nilimjibu
kuwa am happy with my man though he isnt rich na pia nafurahi kuwa
amepata binti dogo dogo aliejichora jina lake kila mahali...nilipomjibu
hvo akaanza kuniambia nina nyodo na kiburi na msg zangu zote pamoja na
picha tulizopiga pamoja atazibandika hapa jf, fb na kwa notes board ya
ninaposoma. Pia atazifanyia photo shop za wadada walio uchi aweke sura
yangu aone nani ataumia kati yetu. Nimebaki na mawazo je kilichomtia
hasira mpaka aje anisumbue na kunikashfu ni nini? Je wanaume mkiachwa
na nafasi zenu kuchukuliwa na watu mliowazidi hasa pato inawakera eeh?
Je akijaribu kuniphotoshop nimfanyeje? Nipeni mawazo wakuu...! Nyc
weekend
Nenda polisi katoe taarifa na hizo meseji kama hujazifuta kazioneshe ili uwezi kulinda heshima yako,vinginevyo atakudhalilisha na utauza magazeti ya Shigongo.
 
Same thing is happening to me jamani my ex doesn't want to get it into his mind that I ve moved on..kila cku ni full matusi yani!jamani!kha!
 
just simple question, umesema anamsichana amejichora tatoo mwili mzima (jina la your ex) umejuaje hili? Isije ikawa bado unamnyemelea kimtindo,au unafuatilia mambo yake ndio maana kakutishia kuzipublish pic zako.
Forget about him for good.usijibu hata sms zake,ikiwezekana black list him.
 
pole jamani! Smtimes nashindwa kuwaelewa wanaume na reaction zao.
 
just simple question, umesema anamsichana amejichora tatoo mwili mzima (jina la your ex) umejuaje hili? Isije ikawa bado unamnyemelea kimtindo,au unafuatilia mambo yake ndio maana kakutishia kuzipublish pic zako.
Forget about him for good.usijibu hata sms zake,ikiwezekana black list him.

ni miezi kibao ilipita bila mawasiliano bt from no where akaanza kusms. Sina tym nae, i've moved on bt seems he want to hold me bak bt cant alow that!
 
Du kwa hiyo ni great thinker wa JF huyo. Halafu ukute ni bingwa wa kuwashauri watu jinsi ya kutreat wapenzi wao vizuri, inasikitisha!
Sio wote humu magreat thinker, mengine kazi yao kuharibu tu.
 
The guy has stoped to be a man kwa kweli! Though Tumeachana muda mrefu na kila mtu akawa na mahusiano mapya ananiharass! Nilipata mtu mwenye pato dogo kuliko la ex wangu ni fundi cherehani ana ka-workshop kake wakati ex alikuwa kazi nzuri, pato zuri na kagari. Jana from no where ameanza kunitumia msg kuwa hapati ucngz na ananipenda ila ako na msichana mdogo mdogo amepachika tatoo kila mahali zimeandikwa jina lake. Eti ananisikitikia kwa kujishusha hadh kutoka kulala hotel nyota tano mpaka gest za elfu 10, anataka kujua huyo fundi cherehani ako na nini kumzidi? Nilimjibu kuwa am happy with my man though he isnt rich na pia nafurahi kuwa amepata binti dogo dogo aliejichora jina lake kila mahali...nilipomjibu hvo akaanza kuniambia nina nyodo na kiburi na msg zangu zote pamoja na picha tulizopiga pamoja atazibandika hapa jf, fb na kwa notes board ya ninaposoma. Pia atazifanyia photo shop za wadada walio uchi aweke sura yangu aone nani ataumia kati yetu. Nimebaki na mawazo je kilichomtia hasira mpaka aje anisumbue na kunikashfu ni nini? Je wanaume mkiachwa na nafasi zenu kuchukuliwa na watu mliowazidi hasa pato inawakera eeh? Je akijaribu kuniphotoshop nimfanyeje? Nipeni mawazo wakuu...! Nyc weekend

Duh! Ushamba mzigo. Hope atamaliza hiyo balehe yake soon. Kama alivyosema Bishanga hapo juu its wise kufungua RB just in case of assault or anything.
 
The guy has stoped to be a man kwa kweli! Though Tumeachana muda mrefu na kila mtu akawa na mahusiano mapya ananiharass! Nilipata mtu mwenye pato dogo kuliko la ex wangu ni fundi cherehani ana ka-workshop kake wakati ex alikuwa kazi nzuri, pato zuri na kagari. Jana from no where ameanza kunitumia msg kuwa hapati ucngz na ananipenda ila ako na msichana mdogo mdogo amepachika tatoo kila mahali zimeandikwa jina lake. Eti ananisikitikia kwa kujishusha hadh kutoka kulala hotel nyota tano mpaka gest za elfu 10, anataka kujua huyo fundi cherehani ako na nini kumzidi? Nilimjibu kuwa am happy with my man though he isnt rich na pia nafurahi kuwa amepata binti dogo dogo aliejichora jina lake kila mahali...nilipomjibu hvo akaanza kuniambia nina nyodo na kiburi na msg zangu zote pamoja na picha tulizopiga pamoja atazibandika hapa jf, fb na kwa notes board ya ninaposoma. Pia atazifanyia photo shop za wadada walio uchi aweke sura yangu aone nani ataumia kati yetu. Nimebaki na mawazo je kilichomtia hasira mpaka aje anisumbue na kunikashfu ni nini? Je wanaume mkiachwa na nafasi zenu kuchukuliwa na watu mliowazidi hasa pato inawakera eeh? Je akijaribu kuniphotoshop nimfanyeje? Nipeni mawazo wakuu...! Nyc weekend
hii thread inaendana na ile inayosema mpenzi wangu nampenda lakini ana tatoo nyingi?/ ama nimekosea jamani..hakuna uhusiano wowote kweli??
 
fb akaunti nilidiactivate siku mingi. I wish to change my name hapa jf cjui nifanyeje?
Hivi mkipenda Wanaume ndio mnakuwa mnatokwa na akili kiasi hiki? Privacy zako kama hii ID yako ya JF kulikuwa na ulazima gani wa yeye kuijuwa?
Ok tuma pm kwa Invisible mwambie akubadilishie Username yako ili utumie jina jipya utakalopenda then futa Subscription zote kwenye Folder lako. make sure folder liko Empty.
 
I Can help you take care of that na i guarantee he will become a man again:cool2:, kama unaona Plan A inakutisha basi
naweza kukusaidia umsahau, by kumsahau namaanisha kutoumizwa na vimikasa vyake, maana nahakika jamaa :crazy:
 
Back
Top Bottom