My ex-gf!

. We Fidel ushaona wapi mke kaolewa afu anamwacha mumewe ili akurudie wewe alokupiga but mwanzoni! Wadhani kwako atatulia? sijui lakini awezatumia kama unayo ya dhahabu!

Mwanamke aliye pata kidonda sugu cha penzi akakumbuka aliko toka lazima atulie tu weweee lazima anywee si anakuwa kajifunza kama mm navyo amini nikipata changudoa nikimwoa naamini atatulia maana wengi wanafanya kwa dhiki.
 
Mwanamke aliye pata kidonda sugu cha penzi akakumbuka aliko toka lazima atulie tu weweee lazima anywee si anakuwa kajifunza kama mm navyo amini nikipata changudoa nikimwoa naamini atatulia maana wengi wanafanya kwa dhiki.

........... Labda.
 
naona wengi wamekuambia stick to your current girl na wengine wanasema tahadhari na huyo ex wako...i read between the lines and i feel kwamba bado una feelings na huyo ex wako...just by reading the way you presented your case.....i might be wrong ofcourse but if im right and you still are in love with your ex...then it would be a big mistake to go on and marry your current girl.....be true to yourself and ask yourself if you are honeslty over your ex.....
 
wewe vp bwana!!

amekukimbia, amezaa, yuko nje ya nchi, hataki kurudi then leo akwmbie umrudie tena kibaya zaid uende aliko! hebu kaa chini ufikiri kaka. achana nae

halua haina kipolo!!

kwa nini upashe kipolo wakati vya kupikwa vipo?
 
wakuu wote nimewasoma!
I AM MOVING ON WITH MY LIFE!AND I AM NOT REGRETING.it is over btn me and her!
 
At the risk of getting blusted by women in here mimi nitakuambia ukweli. Go with the one you love most. But also go with the one who loves you most. Unampenda nani zaidi kati ya hawa? Je nani unaona ana kipenda zaidi kati ya hao wanawake wawili? Think carefully of those two things. Then utapata jibu lako.
 
Didn't mama tell you usirudiane na ex wako?

Kama alikuacha mara ya kwanza nini kitamzuia kukuacha mara ya pili, Wewe endelea na maisha yako akitaka muwe marafiki sawa akigoma ni sawa vile vile huna cha kupoteza unless bado unampenda.
 
Mmm yaani mkuu walishwa vya majuu ukitema? Duh! Ahahaha?kila la kheir hop u wil mke the rgt decision.
 
Kuna kitu alisahau kukutenda sasa ndo amekumbuka anaona aje na maneno matamu anajua utakubali then akishakutenda hilo alilokusudia analala mbele,kuwa mwangalifu sana,Kwa ushauri endelea na huyo uliye naye kwa sasa,utakaporudi kwa huyo jua kwamba unarudia matapishi yako mwenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom