Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Mpwa tumetoka mbali? Nikutumie shemejio aje nyumbani utusaidie?
Hahahahaha..... kiongozi huo mtego, fumbo au swali?
Mpwa tumetoka mbali? Nikutumie shemejio aje nyumbani utusaidie?
Hali mbaya mkuu ama vinginevyo natuma kijana wa Ng'ombe! walau 40,000 Tshs
Mh! inawezekana....Mshahara ni kama hedhi, unakuja na kukaa siku 3 hadi 7, usipokuja ujue una mimba tayari.
Hahahhah mpwa wanitega? najua wataka nimtume house gal wangu!