My Dear!

Hahahaaa.... I can imagine the pressure Rev, njoo nikukopeshe sadaka

Nguo za watoto for sikukuu, Mbuzi and Mbege for Christmas and New Year....

Pole
"If women are so bloody perfect at multitasking, how come they can't have a headache and sex at the same time?"
 
25.jpg

ukiangalia vizuri hii picha kuna mmoja hapo kanyoosha mkono kabisa akisubiria mshahara wake
 
hivi makorora black label zinapatikana
leo niko chamber mkuu... nimerudi salama ila gari imenisumbua kidogo njiani, haili kabisa mafuta....

Natafakari tu namna ya kufikisha hawa mbuzi, kuku, kambare wa ru na mbogaboga nyumbani aisee
 
Dear Salary

Please come back to STAY with me.

You left in such a rush last month,

I didn't even have time to tell you about my plans
.

download

I'm sorry about whatever it is I did.

I promise I'll be good.

I'm sorry about whatever it is I did.

I promise I'll be good.

Hahaaaa dont beg, iache tu ije mwisho wa mwezi sisi wenyewe hatuna wema ikija tunaichakachua weee, kila sehem tunaifanyia mambo, let it stay till the end of month.
 
leo niko chamber mkuu... nimerudi salama ila gari imenisumbua kidogo njiani, haili kabisa mafuta....

Oooh mkuu pole na safari kumbe ulikuwa vekesheni kidogo?

Natafakari tu namna ya kufikisha hawa mbuzi, kuku, kambare wa ru na mbogaboga nyumbani aisee

dah mkuu vitoweo hivyo hakikisha vinawahi home hata kwa kukodi bajaj imradi vifike nyumba kubwa
 
Oooh mkuu pole na safari kumbe ulikuwa vekesheni kidogo?

dah mkuu vitoweo hivyo hakikisha vinawahi home hata kwa kukodi bajaj imradi vifike nyumba kubwa

Kumbukeni na nyumba ndogo jamani!
 
Kwa hiyo hawa wanacheza kiduku au wacheza kiduku waliiga kwa hawa kucheza kiduku?

mmmhh mi naona hawa ndo wazinduzi wa kiduko..
maana wenyewe walianza kucheza kiduku kabla si hatujazaliwa
hahahahah lol
 
Nitasusia JF iwapo chat room hairudi! Fikishieni ujumbe MOD
 
How about Dear Bottle? Was it part of your last month salary plan? Ahahaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!! have ten for a weekend.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom