My confession: Nilimla denda demu wa rafiki yangu

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,421
13,378
Ilikuwa mwezi uliopita nikitoka tabora na ndege inayo pita dar kwanza kisha mwanza ndo inakuja dar ,mwanza inakaa 3 hrs yakufaulishiwa,ghafula nikakutana na demu ambaye kuna rafiki yangu alishanitambulisha ni mpenzi wake, sasa ikabidi nimsalimu nakukua naye, tulichoharibu ni kuanza kunywa bia kusubiri ndege pale tabora tulikunya tatu tatu.

Kwa ndege story zikaendelea siti moja na bia mbili, sasa ishu mwanza tulifika sasa tano tukaambiwa ndege ya dar saa mbili tukakaa ka baa ka pale nje tia tungi sana sasa ishu ni usiku kwenye ndege ,sjui ilikuwaje asee tulikula mate ndege inaanza hadi tunafika nilipofika dar nikamuaga.

Sasa asabuhi nikawa normal nkawa nahuzuni sana si tabia yangu kabisa,nkam sms plz ya kwenye ndege yabaki untold na yasirudie akaanza kutuma sms za mapenzi nkawa sipokei na simu sms nadelete pia ,sasa ishu nimerudi tabora jamaa ake z my best tukitoka job tuu huyu kunichukua tukacheze mpira au weekend bar.

Sasa kila akiniita yuko na demu yule wa ndege yaani ananikonyeza mara anikanyage na siku alinifata toilet na kusema kama vipi anaonyesha ile sms ya kusema ya ndege ya ishe humo akinisingizia nimemtongoza yaani skuiz namuepuka msjkaj hadi ananiuliza ,na sina wa kumweleza sjamwambia m2 usumbufu huu ...NISHAURI
 
Mhhh japo uandishi wako haujaenda vyema ila hayo ni matokeo ya ulichofanya
na ulijua kabisa ni msichana wa rafiki yako na ukakubali kutoa ulimi wako ukampa
na then hapa unakuja kuomba ushauri wa kujutia kile ulichofanya
Na ole wako msichana huyo aonyeshe sms uliyomtumia ndo utakuwa mwanzo wa kuvunja urafiki wako na jamaa na urafiki wa msichana na jamaa maana itaonekana sio mwaminifu
 
Hicho kidemu hakijatulia! Ishu ni pale kitakapokusemea kwa jamaa yake msg anazo! Dont sms her again halafu kwenye simu yako mweke kwenye black list
 
Binadamu bwana! Sasa mnamsanifu kusema kapanda ndege? Hata kama we bado hujapanda kubali tu kuwa wengine saiv ni jambo la kawaida sana wanazipanda kila siku kama unaona unapenda pigana upande kama vp ishi uwezavyo khaa! Great thinkers wawe ndege ni issue?
 
duuh thats very bad,whay did u do that?dont ever allow it to happen kwa demu wa mwenzio au mke wa mtu utaja umbuka hapa mjini hako katabia kako kaache kabisa eeh
 
sasa unajua mwana kwa sababu wewe ndio ulishabugi it tym to face the music...endelea na huyo demu pata uroda na pia jua utakamatwa some tym.
 
Tatizo lililopelekea kufanya hivyo ni kupanda ndege ama kunywa bia?
Tutegemee matukio haya ukikwea pipa ama hata bia za mwananyamala zinakulandua?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom