Computer yangu ina DVD writer aina ya "NU DVDRW DDW-082". Inaweza kusoma Audio CDs lakini haisomi data CDROMs kabisa! Mwanzoni ilikuwa inafanya kazi vizuri, ghafla imeanza tatizo hilo! Nimejaribu kutafuta firmware kwenye net ili ni-update nimekosa! Msaada tafadhali!