Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,822
Kuna vitu havijakaa sawa bibie......anyways vitu vingine saa nyingine ni bora kutovijua.... lol
hahahaha hapa namsubili pacha wangu Masa maana nitashambuliwa bure.
........ Heeh! please jamani isiwe kweli maana watu na 'packages' zetu za uhakika tu tusijefikiriwa wateja wa huduma hiyo!! haha
Kuna vitu havijakaa sawa bibie......anyways vitu vingine saa nyingine ni bora kutovijua.... lol
Hii ni changamoto kwa wale wanaoanza kila mtu akiwa na vyake... kuvichanganya viwe vya wote....
Mie na mwenzangu tulianza kila mtu hana kitu..katoka kwao nami kwetu..tukaanza kutafuta vyetu from the word GO.
Kuna changamoto pia kwa wale wanaoanza na mwenza mwenye vyake.Utakuta mara nyingi japo si zote mwanamke anatoka kwao hana zaidi ya sanduku lake..anaenda kuolewa na mwanaume mwenye kila kitu..... sijui huyo mdada anaanza vipi kusema " gari letu" au "nyumba".The only "thing" she can dare say with confidence ni ..." mtoto/watoto wetu" kwa sababu atakuwa ameshiriki kumpata mtoto huyo.
Ni mawazo yangu lakini.
...Kaizer, nini kikusikitishacho? umegundua chako chenu, chake chake ama? ...usijali bana, vitu vyenyewe tunaviacha hapa hapa duniani..
........ Heeh! please jamani isiwe kweli maana watu na 'packages' zetu za uhakika tu tusijefikiriwa wateja wa huduma hiyo!! haha
..."tch -tch -tch!"
...Kaizer, nini kikusikitishacho? umegundua chako chenu, chake chake ama? ...usijali bana, vitu vyenyewe tunaviacha hapa hapa duniani..
chako roho tu!
...wewe sema tu; sababu ya mbolea yenye rutuba bana. masa hataki kuchangia siku hizi, huenda 'ki-limbwata' kishamkolea!
...wanawa mikono hata chakula hakijaiva?!
ndio ukubwa baba....na maisha yenyewe sasa tufanyeje??
Asante, ila kuna namna nyingi za kufanya, si unajua....
...wewe sema tu; sababu ya mbolea yenye rutuba bana. masa hataki kuchangia siku hizi, huenda 'ki-limbwata' kishamkolea!
...wanawa mikono hata chakula hakijaiva?!
What about one of you baada ya kuoana kagundua kua una madeni kibao, i.e bank loan cai instalment etc. will you still say our madeni ?
Mkuu Mbu...sasa si bora kuumwa 'malaria' kuna dawa kuliko kujua kuwa changu ni chetu na chake ni chake.....
Mimi naboreka na huu mjadala frankly speaking sitaki kuwa mnafiki, nasema hivi kwasababu tunajadili hii mada kama vile tunaishi USA, UK, au Japan. Manake michango minigi hapa imelalia tu kwa wale mume na mke wote wenye kazi nzuri ambazo mama anaweza kumnunulia gari baba na baba akamnunulia gari mama. Mnasahau kwamba Tanzania bado kuna watu wengi sana hawana kazi nzuri za kuwapa kipato cha kulingana au kutofautiana kidogo sana.
Tujadili hii mada tukijua kuwa bado kuna wanaume wanaoa wanawake ambao ni VII, form four or form six leaver ambao hawana kazi na hawana ujuzi wowote kwa hiyo wanakaa nyumbani kama akina mama wa nyumabani wakisubiri mipango mingine ya maisha.
Sasa kwa huyu ambaye ameolewa na mwanamume mwenye kila kitu kuna kosa gani akasema kuwa hili gari ni la kwetu. Hivi tunataka kusema kuwa mke ametembelewa na rafiki zake halafu hapo nje kuna Landcruiser akaulizwa hii gari ni ya nani aseme ni ya mume wangu. Mimi nafikiri anaweza kusema tu hivyo katika mazingira ya kawaida lakini kimsingi anatakiwa aseme hii ni gari yetu na wala sio ya mume wangu.
Hapa inabidi turuudi kwenye traditional approach or meaning ya nini maana ya ndoa, na kama hiyo haitoshi turuudi kwenye religion poit of view nini maana ya ndoa na nini maana ya mume na mke. Jibu linakuwa wazi kabisa kuwa mnapokuwa kwenye ndoa kila mnachokifanya au ambacho kilishafanywa na mmoja wenu kabla ya ndoa kinakuwa chenu wote.
Haiingii akilini eti mume au mke aache kuilinda au kusema gari hili ni la kwetu kwa sababu tu alimkuta nayo mume au mke wake kabla ya kuoana, sio kweli hizo ni mali zenu wote bila kujali alikukuta nayo au mmeipata mkiwa pamoja.
Kinachotokea hapa au siku hizi ni kwa sababu tuna mapenzi ya mang'amung'amu na tunaoana kwasababu tu tunapendeza tukitembea barabarani au tusipooana watu, marafiki ndugu na classmates tuliosoma nao watatushangaa sana kwahiyo tuoane tu. Ndio haya kila mtu anakuwa na cha kwake hadi baadae kila mtu anakuwa na mlango wake wa kutokea.
Naona tunaweka uzungu sana hapa na tunasahau kuwa bado watu wanaoana mmoja akiwa hana kitu lakini maisha yanakwenda kwasababu wanajua maana ya ndoa na base ya ndoa na sio ndoa za kufunga kwasababu ya marafiki na ili mfunge harusi za kutingisha jiji
Naamini kabisa gari au mali bado inaweza kuwa yetu kama tutaacha ujinga na umaskini wa kufikiria bila kujali kama mlianza kuchuma pamoja au la,
HESHIMA NA MAPENZI YA DHATI

... we acha tu!
fikiria; ...hati ya kiwanja jina lake, hati ya nyumba jina lako. Mkigombana anakwambia "...e bana eeh...chukua nyumba'ko uondoke hapa! "
Hiki unachokileta hapa ni ideal situation kwa maisha ya kawaida.Lakini utashangaa hii siyo hali halisi ya maisha yalivyo.Tena hao waliooa wanawake darasa la saba au sijui form 4 au 6 wasio na kazi ni wanyanyasaji kupindukia.Nimewahi kusikia wanaume wakizungumiza kero yao ati..mwanamke umemuoa juzi kaja kakukuta una nyumba yako nzuri umeiwekea nakshi za kila aina... ati ukiingia ndani anakuuliza kwanini unaingiza michanga na tope ndani kama vile ni yake?! Ati kwanini mwanamke anawaagizia marafiki zake kuwa pale ni nyumbani kwa mama fulani wakati kakuta kila kitu! Niliwashangaa sana maana niliona wana umaskini wa roho tu...
Ubinafsi hauna cha mtu anayeishi Marekani wala uswekeni!
It all depends.What about one of you baada ya kuoana kagundua kua una madeni kibao, i.e bank loan cai instalment etc. will you still say our madeni ?