My brain vs I.T, HELP!

Given Edward

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
850
202
Jamani wakuu this is really killing me, and my reputation around coleagues. Kuanzia kama miezi 7 iliyopita imekuwa kwamba anytime I use tech devices kama simu( mainly WAP), internet na computer, the next 4 to 5 days nashindwa ku-concentrate na chochote! I don't even get things right the third time. My reasoning and thinking all become very weak( i'm not sure if it's weak or low). I can't recall something(maybe what i've been reading) 1hr earlier. I can't hold on to a thought for more than 5' before it vanishes. What really suprises me ni kwamba nisipotumia any of the above mentioned, everything goes back to normal. What could this be fellow IT experts? I don't want to give up tech just like that! Thanks in advance.
 
Ungepeleka jukwaa la afya (Jf Doctor) wangeweza kukusaidia, nafikiri una shida ya macho au vifaa unavyotumia huenda vinatoa mwanga unaokudhuru...
 
Try to break after every 30mins for 5mins or more and use glass-inawezekana ni mwanga wa izo devices unakusumbua kama alivyosema mdau hapo juu.
 
Utakuwa na matatizo ya kisaikolojia au ya ubongo, mwone daktari.
 
Jamani wakuu this is really killing me, and my reputation around coleagues. Kuanzia kama miezi 7 iliyopita imekuwa kwamba anytime I use tech devices kama simu( mainly WAP), internet na computer, the next 4 to 5 days nashindwa ku-concentrate na chochote! I don't even get things right the third time. My reasoning and thinking all become very weak( i'm not sure if it's weak or low). I can't recall something(maybe what i've been reading) 1hr earlier. I can't hold on to a thought for more than 5' before it vanishes. What really suprises me ni kwamba nisipotumia any of the above mentioned, everything goes back to normal. What could this be fellow IT experts? I don't want to give up tech just like that! Thanks in advance.

this is personal view;
when using this tech devices we tend to "depend" on them, sasa unakuta kuwa ukitaka kujua au kufanya kitu basi, una goolge au una tumia calculator nk, sasa kila mara unapoviacha kwa ule muda mfupi unajikuta the brain is not that shap to recall na kufanya mambo kwa kujitegemea, kwa kuwa umekuwa na ile hali ya kusema where the tech gadget. lakini unpoacha kuvitumia kwa muda badi brain inaanza kujitegemea zaidi...

just thinking,

my advice "read more books , watch less TV"
read the above statement , my advice, between the lines....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom