My Birthday!! Today, I Invite you all for my party

RedDevil

JF-Expert Member
Apr 30, 2009
2,367
1,519
WanaJF, leo ni siku yangu ya kuzaliwa! Naadhimisha siku hii muhimu kwenye maisha yangu kwa kutafakari mambo mengi. Lakini jambo moja kubwa ni kumcha Mungu kwa kila hatua ya maisha yetu ili tuzidi kutenda mema siku zote, kutokuwa na tamaa, kufanya kazi kwa bidii pamoja na kutokuogopa changamoto za maisha.

Ahsanteni sana, na karibuni tujumuike pamoja kuadhimisha siku yangu.
 
Happy birthday meeeen! Ni kati ya siku muhimu ktk maisha.. punguza mambo yetu au tumia kwa kwa kiasi,unayajua lakini?
 
Happy birthday mkuu. Sitaweza kuja ila namtuma rafiki yangu, the female red devil... she can party.

reddevil.jpg
 
Sasa tunajumuika pande zipi? Vipi tuje kambi rasmi za upinzani au kambi ndogo? Epi barthi dei shaytwain.
 
Happy birthday meeeen! Ni kati ya siku muhimu ktk maisha.. punguza mambo yetu au tumia kwa kwa kiasi,unayajua lakini?

Hahahah, Ipi dot com bana, ahsante mkuu! mambo yetu hayo ndo sijayapata, niPM kama vipi
 
hepi besdei ya kuzaliwa mkuu.....lol!

Mkuu ahsante sana!! Lol, now getting older but am happy anyway! kwani hakwepu mtu hapo mpaka research zitakapopata majibu ya kurudisha watu ujana!
 
Back
Top Bottom