My Appreciation to Jf memberz!!

<br />
<br />
Kaka tafadhali niko hapa msikiti wa kona Nairobi unaitwa al nini nini cjui naipiga swala yangu ya Iddi usije kuniondolea udhu. Ila mkuu nakumic kama jasho la kuku. Wapi mama mzima marty?
aaaaaa mkuu, Idd hii tunatakiwa tukaisherekee na kitimo...............{jokes}
karibu boosssss...
 
nipo swaumu kali bwana
karibu kitimoto
saumu kali kwani hujanywa chai?
nimekuachia hela ya matumizi asubuhi.............
badala ya kupika chai unywe we unangangania keyboards,
shauri lako..............
 
Back
Top Bottom