My All JF Dearest Ladies and Gents

Thank you CPU.....leo before its too late naomba nimtaje ninayempenda.....to hell with his reaction.....niseme au nisiseme?????
 
dah! mpwa ungekuwepo jana ndio ilikuwa balaa. CPU anatafsiri nyimbo za kandabongo man kwa kiswahili halaf anamdediketia lizzy. dah!

acha umbeya Kloro....umeulizwa? karibu uwanja wa fisi na leo niko hapa natafuta riziki.....:rain:
 
sasa nia umetangaza jana halaf ulitaka akuimpress last krismass? lizzy bana. halaf hiyo kuweka marangirangi ndio nimemfahamisha leo through PM. lakini kijana ana spidi ya umeme yaani leo hii hii kafanya makeke. khaa!
Angeonyeshaga hata kainterest maana mpaka nikatangaza nia ujue nimechoka kua mwenyewe!Hahahaha kafanya zaidi ya maelezo ya mwalimu!
 
Khee Kheee ankal yule dj alitaka kuniibia zile raba zangu ya air jordan aisee ulikuwa wapi wewe ulipelekwa jando nini?
kuna forum wameninunua nikuwe nawashauri memba wao, nalipwa kwa kila post ninayotuma. hawa JF hawajui umuhimu wangu ndio maana napotea. nimeskiliza matangazo ya vifo lakini naona jina la hashycool sikuliskia, yupo hai?
 
my dear nataka niende huko.....nina pumu tangu kuzaliwa....nimeambiwa nayo anatibu.....sijui hiyo dawa itakuwepo nikipata nauli????
hata mimi natibu pumu tena kwa tiba ambayo utaomba usipone maisha ili upate kutibiwa kila siku.
 
my dear nataka niende huko.....nina pumu tangu kuzaliwa....nimeambiwa nayo anatibu.....sijui hiyo dawa itakuwepo nikipata nauli????
Anatibu kila kitu dearest!Siku nikienda kumsalimia nikupe lifti?
 
huu mpango wa kuanzishia sredi cafe si mzuri hata kidogo, yaani CPU tumempoteza kabisa. khaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom