My 1st Interview nipeni maujanja

Ndekirhepva

JF-Expert Member
May 18, 2012
371
44
wakuu mimi ni mmojawapo kati ya walioitwa kwenye interview ya Accounts assistant na TANAPA, sasa this is my 1st interview, wataalam na wazoefu wa hizi vitu naombeni ma skills ili nikachukue ofisi,
nikimaanisha,
1) huwa wanauliza maswali ya aina gani? kama ni kuhusu proffesion au ni maswali ya uelewa??
2) unatakiwa uingie ingie vipi pale kwenye panel??
3) unasalimia vipi manake watakua panelists wengi kidogo na ni wake kwa waume,
4) na vipi wakikupiga swali afu una uhakika kabisa huna jibu, utawajibu vipi?? istoshe kukaa home nimechoka mbaya..

nipigeni tafu nikachukue kitengo please
 
duh...
Watu wana roho ngum kichiz,kama ya korosho??
Zat means hamtaki nikachukuebkitengo???
Haya bana nibanieni tu ila me keeping the faith ntashinda hii kitu
 
Mlivyoitwa wengi, nadhani itakuwa ya kuandika.. Review kwanza madesa ya Accounts
 
Si una biblia? Mtu hawezi kukuinua zaidi ya sehemu aliyopo,xo soma bible leo utakutana na neno lako na uombe ,then unaingia kwa confident,ukiingia anza kuwauliza maswali wewe.
 
wakuu mimi ni mmojawapo kati ya walioitwa kwenye interview ya Accounts assistant na TANAPA, sasa this is my 1st interview, wataalam na wazoefu wa hizi vitu naombeni ma skills ili nikachukue ofisi,
nikimaanisha,
1) huwa wanauliza maswali ya aina gani? kama ni kuhusu proffesion au ni maswali ya uelewa??
2) unatakiwa uingie ingie vipi pale kwenye panel??
3) unasalimia vipi manake watakua panelists wengi kidogo na ni wake kwa waume,
4) na vipi wakikupiga swali afu una uhakika kabisa huna jibu, utawajibu vipi?? istoshe kukaa home nimechoka mbaya..

nipigeni tafu nikachukue kitengo please

du kuuliza si ujinga! ila mm na ww hatuna tofauti sana, tungojee wataalamu washushe mambo kitaeleweka tu usijali. ww ni mmasai nn? maana nasikia sikia mitaani eti ukiwa mmasai tanapa uwezekano wa kupata ni mkubwa zaidi.
 
Mie nitakuwepo kwenye panel.

Naangalia maujanja yote unayohukua hapa halafu nabadilisha maswali kuyapangua :)
 
mkuu kama kesho ni interview umechelewa kuleta hoja yako cha msingi angalia you tube au google basic question za interview hasa za hiyo kazi yako shinda usiku mzima ukicheki hizo video lazima utatoka na kitu hata jinsi unavyosalimia unavyouliza maswali yote yamo humo cheki vizuri tu.
 
Hebu google kwanza 'how to answer job interview questions'. Utapata maujanja ya jinsi ya kujibu tricky questions.

All the best, otherwise uvae kiwalo comfortable. Na ufike in time. Kumbuka kubeba original certificates just in case.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kurelax pia ni muhimu sana. Kama swali hujalielewa vizuri hakuna ubaya wowote kuomba swali hilo lirudiwe. Ongea kwa kituo hakuna sababu yoyote ya kuongea kama unaharakishwa/una haraka. Kila la heri.

Hebu google kwanza 'how to answer job interview questions'. Utapata maujanja ya jinsi ya kujibu tricky questions.

All the best, otherwise uvae kiwalo comfortable. Na ufike in time. Kumbuka kubeba original certificates just in case.
 
Wakiomba uhulize swali la nyongeza mwisho wa interview ya pili( interview ya kwanza ni written)

Uliza hivi je TANAPA kuiba wanyama wetu ina malengo gani na msitakabali wa taifa?
 
hey just tulia tena kama msom usiwe na papara,kumbuka interview its all about selling yourself so jua jins ya kujinad we tanzanians tuna tatizo hilo hatuju kujinadi.andaa confidence ya kutosha usipo elewa kitu uliza,halafu sauti iwe kubwa ya kutosha,best of lucky boy.:smile-big:,:busu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom