MWL wa Math na Physics

We sema tu ni mweupe nitakuelewa, si kudanganya.

Kuna aina ya watu ambao wana tabia ya kutokukubalia udhaifu wao hata wakiambiwaje; hilo ninalielewa sana katika psychology, ila nitajitahidi sana kukusaida ujue yale usiyojua hata kama ni against ego yako.
 
Teh! teh ! teh!

Wewe kumbe ni bure kabisa kwa vile inelekea hujui theories nyingi unazotaka kuzitumia. In this case, theory ya elasticity; nitakusaidia.

katika elastic region, Hookes Law inasema kuwa stress is linearly proportional to strain, na constant of proportionality inajulikana kama youngs modulus au Modulus of elasticity (E). Kwa vile stress= F/A na strain= e/l, ndipo tunapata

F/A=Ee/l ambazo ukizichanganya unaishia kupata

F=(EA/l) e

Kwa hiyo elastic constant au stiffness constant k ni (EA/l). Value ya k ndiyo inayotakiwa katika maswali ya kinetics of particles. Kama ulikuwa umetoa E,ni lazima ulitakiwa utoe cross section ya hiyo wire yako (A) kusudi wanafunzi wako waweze kutafuta value ya k.

Kwa materials ambazo hazi-obey Hooke's law, zinajulikana kuwa na nonlinear stifness, ni lazim u-specify namna ambavyo k inavyohusiana na extension (e), kwa mfano k=2e

Ndugu yangu kichuguu naona unaijua kweli physics lakini kwenye hili naona kuna shida, for elastic string relationship btn T and x is
6d2e70640ace53ab3c955ddb773dddc8.png
where T-tension, modulus of elasticity
e05a30d96800384dd38b22851322a6b5.png
,x is etension and l is natural length.Kwa maelezo zaidi unaweza kutembelea
hapa, au Kasome kitabu hiki Physics for A-level by L. Bostock and S. Chandler page 185.
 
Na wewe ni mwalimu wa Phyiscs?
Kama ni mwalimu wa Phyiscs huenda utakuwa unafahamu tofauti ya quantities hizi EA, EI na EJ. Hiyo unayoongea wewe \lambda ni EA. Google term hiyo "Modulus of Elasticity" au soma vitabu mbalimbali vya Solid Mechanics au Continuum Mechanics utapata jibu sahihi. Sina uhakika kitabu ulichonipa link yake kiliandikwa na mtu mwenye upeo upi katika field hii kwa vile hakikufunguka kwangu. Una haki ya kukubaliana nami au kuachana nami, ila nina uhakika na ninachoongea; mimi ni mwalimu wa siku nyingi sana kwenye field hii.
 
Mswali ya mtihani huo yana mamtatizo mawili:

(a) Maswali mengine hayako specific; kwa mfano swali la kwanza linauliza direction, lakini haliko specific katika kuspecify direction relative to what: direction relative to horizantal axis or vertical axis or what.

(b)Maswali mengi yanahuhisha gravity, lakini hayakueleza conditions za gravity. Kwa Tanzania acceleration due to gravity ni 9.85m/s^, wakati sehemu nyingi za Ulaya value hiyo ni 9.81m/s^2. Swali lingekamilila kwa kuspecify value ya g.

(c) Baadhi ya maswali yameandikwa kwa kiingereza kibovu chenye makosa kinachoweza kusababisha mtahiniwa aelewe swali kinyume na anavyotakiwa kulielewa.

Maswali ya form I yamekukamata mtu na degree yako ya UDSM? Follow the given instructions no alterations are allowed!
 
Teh! teh ! teh!

Wewe kumbe ni bure kabisa kwa vile inelekea hujui theories nyingi unazotaka kuzitumia. In this case, theory ya elasticity; nitakusaidia.

katika elastic region, Hookes Law inasema kuwa stress is linearly proportional to strain, na constant of proportionality inajulikana kama youngs modulus au Modulus of elasticity (E). Kwa vile stress= F/A na strain= e/l, ndipo tunapata

F/A=Ee/l ambazo ukizichanganya unaishia kupata

F=(EA/l) e

Kwa hiyo elastic constant au stiffness constant k ni (EA/l). Value ya k ndiyo inayotakiwa katika maswali ya kinetics of particles. Kama ulikuwa umetoa E,ni lazima ulitakiwa utoe cross section ya hiyo wire yako (A) kusudi wanafunzi wako waweze kutafuta value ya k.

Kwa materials ambazo hazi-obey Hooke's law, zinajulikana kuwa na nonlinear stifness, ni lazim u-specify namna ambavyo k inavyohusiana na extension (e), kwa mfano k=2e

Ndugu yangu kichuguu naona unaijua kweli physics lakini kwenye hili naona kuna shida, for elastic string relationship btn T and x is
6d2e70640ace53ab3c955ddb773dddc8.png
where T-tension, modulus of elasticity
e05a30d96800384dd38b22851322a6b5.png
,x is etension and l is natural length.Kwa maelezo zaidi unaweza kutembelea
hapa, au Kasome kitabu hiki Physics for A-level by L. Bostock and S. Chandler page 185.

Usiseme bwana mtaalamu wa physics haoni tofauti kati ya gravitational field strength na acceleration due to gravity. Na baadae atasema ni sawa tu gravitational potential, nina mashaka naye huyu mwanasayansi wa kudesa
 
Na wewe ni mwalimu wa Phyiscs?
Kama ni mwalimu wa Phyiscs huenda utakuwa unafahamu tofauti ya quantities hizi EA, EI na EJ. Hiyo unayoongea wewe \lambda ni EA. Google term hiyo "Modulus of Elasticity" au soma vitabu mbalimbali vya Solid Mechanics au Continuum Mechanics utapata jibu sahihi. Sina uhakika kitabu ulichonipa link yake kiliandikwa na mtu mwenye upeo upi katika field hii kwa vile hakikufunguka kwangu. Una haki ya kukubaliana nami au kuachana nami, ila nina uhakika na ninachoongea; mimi ni mwalimu wa siku nyingi sana kwenye field hii.
Kilaza
 
Elementary mechanics ni zile hatua za mwanzo mwanzo za Classical Newtonian Mechanics kulingana na maswali yako uliyoweka hapo ambayo hayahitaji hata Lagrangian Mechanics; ukitaka twende ndani zaidi ya hapo niko tayari tuongee.

Hebu nipe na hatua za awali za kutreat classical problem as langrangian. Maana wewe ndo unanilead na nitaenda unapoenda, ili nikukamate hapa JF
 
.(b) Kudai kuwa mwanafunzi wa form two atafanya assumption ya g ndiko kunawakosesha elimu pana watoto wetu kwani nyie mnawafundisha kukariri kuwa g ni 10m/s^2 wakati siyo kweli. Value halisi ya g ni (GMe/R_e^2) wakati G ni universal gravitational constant, M_e ni mass of earth and R_e ni distance from the center of earth. Kwa vile R_e inabadilika kulingana na kina kutoka usawa wa bahari na vile vile kulingana na latitude (kwa vile dunia ni oval), huwezi kumkaririsha mtoto kuwa g=10 m/s^2 ukadai kuwa unajua. Experiment ikifanyikia Njombe kwenye nyanda za juu, haiwezi kuleta matokeo sawa na yale ya Dar es Salaam kwenye usawa wa bahari. Ni kawaida kwenye mitihani kuweka statement kuwa assume the value of g to be 9.81m/s^ au 10m/s^2; ulitakiwa ufanye hivyo ili kuzuia ambiguity kwenye mtihani wako.

KWA maelezo yako g = GM/r[SUP]2[/SUP] ndio acceleration due to gravitysio?
 
Ahsante kaka.Mimi ni mwl wa Physics na Math mwenye DIPLOMA.Wanaotoka Vyuo vikuu wakija kuanza kazi za kufundisha Maths wanashindwa.Mpaka wanaomba msaada.Akaombe kuwa DAKTARI,MHASIBU,POLISI.n.k.Wote wanaomsuport wanasahau wamefundishwa na qualified teacher?

...ha ha ha ha ha!! Si kweli kaka,si kila anaefundisha ni mwalimu!! na wala si kila anaetaka kufundisha Hesabu akashindwa basi hajui!! Knowing Mathematics is one thing and being able to let one understand Maths as u do is another!!!!! Being good at Mathematics starts from Within,si kila aliyesoma Hesabu basi anafaa kuwa mwalimu wa Hesabu!! Wengine hata sio walimu na hatuna taaluma hiyo ila tunagombewa na Headmasters!!! Watch out brothers!!
 
Kichuguu nmekupa test yenye full instructions tena kiingreza chake kimenyoka si kama nilitunga mtihani mwingine ule. Kwa kuwa wewe ni Mwanafizikia wa Daraja la kwanza tena unayeijua vizuri elementary particle mechanics huu ndio wanja wako bro/sister
View attachment 59098

Nisubiri nitakuja kujibu maswali yoyote ya maana ila sitajibu upuuzi au ubishi usiokuwa na maana. kama una mswali ambayo huna uhakika nayo kuhusu mitihani unayowapa wanafunzi wako nitakusaidia kuyasahihisha . Sasa hivi niko najiandanaa na mkutano wa experimental mechanics na ukihitaji nitakuletea copy ya proceedings kwenye DVD. Fuatilia link hii kuangalia mada tutkazoeengea kwenye mkutano huo).
 
Kuna jamaa hapo juu kadai eti wanaofundisha vyuo vikuu siyo walimu. Amejitahidi kusema namna wanavyopatikana ila naona anakosa maarifa mapana.Kama anakaa karibu na Dar AU DODOMA au MOROGORO fika Idara ya Physics, Hesabu. Ukawaulize walisoma nini kwenye undergraduate na Msc, PhD zao. Mmi mwenyewe ni one of them na nilisoma Bsc Education na walimu wangu ni Prof. Masawe, Dr. Kakiko, Dr, Rugeihyamu, Prof. Msaki, Dr.Makundi, Dr. Kainkwa;Dr. Koleleni, Dr. Samiji na Wengineo na sas nimeungana nao ktk kazi ya Uhadhiri. Uhadhiri ni Ualimu ktk Advanced Level. Ni kweli si wote wahadhiri walisomgemeana na field. Au labda mtu aseme baadhi ya walimu walipata marks ndogo wakati wakiwa sekondari japo hata ktk fani zingine wapo pia vilaza wengi maana sis tunaofundisha Hesabu hata kwa Mainjinia na wengineo japo hesabu zingine mara nyingine ni Basic ndo tunashuhudia walivyo wagumu wa kuelewa .Tuacheni kudharau Taaluma za watu hasa kama huijui kwa undani wake hiyo taaluma.
 
Na waliofaulu au ma genius wanakimbilia wapi? Ikulu? nini!! Nasikia marais na wabunge wote ni magenius, ni kweli?!

Albert Eistein kweli alikua ticha mkali nyie wenzangu na mimi vilaza tu...mnaungaunga tu hauchi kunakucha!!
 
Back
Top Bottom