Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
tatizo sio kikwete, tatizo ni ccm.
kuna wengine sisimu wana unafuu
tatizo sio kikwete, tatizo ni ccm.
Kukomaa ni mchakato kutoka kipindi cha utoto/udogo/ubichi kuelekea kukua/kuiva, sasa kama kipindi hiki kikipita bila ukomavu kutengemaa basi usitegemee tena kupata kitu kilicho bora. Hapo ndio tunasema kimedumaa au kimevia, laikini kwa JK ni sawa na mpunga - yeye hawezi tena kukomaa na kutoa mchele anabaki "mapepe".
Moringe wote ni wamasai lakini sio kila mmasai ni Moringe
Huyu JK hawezi kukomaa kisiasa mpaka kufa kwake. Kwanza mpaka leo hajui sababu za Tanzania kuwa masikini, pili ahadi nyingi kuliko uwezo, tatu hana mipango mahususi ya maendeleo kwani utasemaje 315, 000 hailipiki ndani ya kipindi cha miaka nane ijayo.
...hafai na anakera sana...badala ya kuwashughulikia Mafisadi yeye
Kila mwenye frustrations zake na chuki dhidi ya JK azilete hapa JF kujifariji.
Kwa kweli mwalimu alikuwa anaona mbali sana. Licha ya watu wengi kumkubali na kumuamini, sasa ameanza kuonekana hana maana na hafai kuongoza nchi.
hatukumuelewa mwalimu hapa alitumia lugha ya kidiplomasia hakutaka kumtukana kwa mwalimu ya kua jk hajakomaa alikua anamaanisha hafai mungu ibariki tanzania
Mwl alikuwa anafocus mbali sana, aliposema alikuwa anajua akili za JK ni fupi kama mkia wa sungura. Yaani cognitive yake ndogo sana. Yanajithibitisha kwa matendo na kauli zake. tuchague maneno jamani, tukumbuke huyu ni mkuu wa nchi