Kwa kweli mwalimu alikuwa anaona mbali sana. Licha ya watu wengi kumkubali na kumuamini, sasa ameanza kuonekana hana maana na hafai kuongoza nchi.
Mwalimu Nyerere naye hapo alianguka mtihani kwani Mkulu wetu hata angempa miaka 80 kuanzia hapo bado miaka hiyo ingefika na angekuwa hajakomaa vilevile, yaelekea Mwalimu alifanya analysis ya age pekee na si ya ukomavu wa kimbayuwayu wa kuchanganya na zake
Hata ukatibu kata nadhani haumfai pia maana nao unahitaji moyo wa uadilifu......zaidi anafaa kuwa baba wa familia labda ndio anaoweza!mimi naamini JK anatatizo kubwa zaidi ya kukomaaa, uwezo kwenye nafasi hana, labda ukatibu kata kule kwao Bagamoyo, ukuu wa nchi ni lazima uwe na moyo wa uadilifu kwenye kutenda na kuuishi uadilifu huo.
Mkuu sina Mbavuukiona mtoto wako anafikia miaka 10 anavaa pampasi, au nepi na bado anajinyea ....tunasema mtoto kadumaa kiakili, ama anamtindio wa ubongo ...maana hakomai.
Mhhh tutabaki kuwa shamba la Bibi,.... Sasa atakuja komaa lini?:flypig:Kambayuwayu ketu
mimi naamini JK anatatizo kubwa zaidi ya kukomaaa, uwezo kwenye nafasi hana, labda ukatibu kata kule kwao Bagamoyo, ukuu wa nchi ni lazima uwe na moyo wa uadilifu kwenye kutenda na kuuishi uadilifu huo.
Sio kila mtu anafaa kuwa kiongozi. Na wengi uwezo wao wa kuongoza unaishia level fulani tu na zaidi ya hapo anakuwa sio effective. Mfano Keenja alifanya vizuri sana akiwa kiongozi wa tume ya jiji lakini kwenye level ya uwaziri hajaweza kuonyesha umahiri wake. Mrema alifanya vizuri sana akiwa waziri wa mambo ya ndani, lakini kwenye level ya uenyekiti wa chama hajaweza kuonyesha cheche zake.
Pengine Kikwete alikua katibu wa chama mzuri tu kwenye level za mikoa lakini sina record yake hata kwenye level za uwaziri aliyofanya beyond expectation. Naona ilikua ni ushabiki shabiki tu ulimnyanyua alipombomoa Kigoma Malima hata watanzania wakajiaminisha kuwa ni kiongozi mahiri.
Kimsingi JK hana uwezo wa kuwa Raisi wa nchi. Cheo hicho ni kikubwa sana kwake ndio maana anapwaya.:angry:
Kuna tofauti kati ya neno HAJAKOMAA na neno HATAKOMAA.
Mkuu hapo naomba utusadie, una mana kwamba Mheshimiwa hatakomaaa milele??:violin:
Wewe unavyomwona keshakomaa au bado...tusubiriNamaanisha kuwa inawezekana Mwalimu alimaanisha ATAKOMAA ila sijui alimaanisha ATAKOMAA lini, labda 2005 - au unadhani ni 2015?
Jakaya Mrisho Kikwete (born 7 October 1950 in Msonga, Bagamoyo District, Tanganyika) has served as the foreign minister of Tanzania since 1995 when the government of President Benjamin Mkapa took office. Before that, he served as minister for finance and energy. He was officially nominated to be the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party's presidential candidate in the upcoming general elections, which are to be held on 30 October 2005.
~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~
Kikwete received his primary education at Msonga Primary School between 1958 and 1961; his middle school education at Lugoba School from 1962 up to 1965. He then moved from Lugoba School to to Kibaha Secondary School for 'O'Level Education between 1966 to 1969. The following year he joined Tanga Secondary School for advanced level education. Kikwete attended the University of Dar es Salaam from 1972-1978 where he earned a degree in Economics. He later (1983) attended a one-year Company Commender Course in military training.
~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~
Note that the village in which HON. Kikwete was born is called Msoga and not Msonga as written above. The village is 10 kilometres away from Chalinze, along the Tanga/Arusha road. He is recorded the only member of constituency in Bagamoyo district who represented a constituency for three terms. He began as an MP for Bagmoyo and later for Chalinze when the district was divided into two constituencies in 1995.
Tuangalie Cv inawezekana tunamuonea bure
Safi kabisa Companero now you are talking, kwa hiyo JK atakapokuja kukomaa ata-realize tayari ameshauza nchi.Anakomaa