Mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii;;WAZO LA PINDA;

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
KATIKA HALI YA KUSHANGAZA KABISA NA KUCHEKESHA WAZIRI MKUU PINDA PETER KAYANZA AMEWAASA WANANCHI WA IRINGA KUWAPIGIA MAKELELE YA MWIZIIIIIIIIIIIIIIIIII WALE WOTE WANAOHUJUMU MALI ZA UMMA KAMA KINA ROSTAM NA WENGINE,ETI PINDA ANADAI HIII ITASAIDIA KWANI WALA HELA ZA UMMA HAO WATAONA AIDU NA KUACHA TABIA YAO

SASA CHA KUNISHANGAZA HAPA NI AKILI NA UELEWA WA WAZIRI MKUU HIVI KUWAITA HAWA JAMAA WEZIIIII BILA KUWACHUKULIA HATUA KUNASAIDIA NINI??KWELI JAMBAZI ,JIZI,LIHUJUMU UCHUMI JITU LINALOJILIPA BILIONS OF BILIONS KULIITA MWIZII INATOSHA ???KWANZA LITAKUSIKIA SAA NGAPI LENYEWE LINAKULA PIPA ALWAYS NA LIKIWA ARDHINI LIKO KWENYE VOGUE XX8 FULL AC VIOOO JUU ANA MUDA WAKUSIKILIZA KELELE ZA WALALA HOI HUYU

KIPINDI KILICHOPITA PINDA ALILIAA BUNGENI,JAMBO LA AJABU KABISA KWA WAZIRI MKUU,LEO ANALETA MAIGIZO KWENYE ISSUE NYETI

nafikiri wabunge wetu wapeleke hoja bungeni huyu PM ajiuzulu,analeta sanaa nchini;;
 
Mtoto wa mkulima nimemkinai yaani basi tu. Yupo pale kuwatumikia mafisadi huku amejifunika blanketi la 'mtoto wa mkulima'.
 
KWANZA JINA LAKE UNALIONAJE???PINDA MTOTO WA MKULIMA,YAANI HAPO NDIO MWISHO WA KUFIKIRI KAFIKA MWISHO HAPO,SIJUI KATUMWA NA VASCO da GAMA

NAUNGA MKONO HOJA YA KUPELEKA HOJA BUNGENI AJIUZULU PINDA HAFAI BORA LOWASA ARUDI
 
yaani PM kachanganyikiwa yupo muhimbili, mkuu wa kaya ka-go-crazy yupo mirembe!!

hao watu wataishia kusema mwizi mwizi tu.. si watammalizia na kumuua??
 
Pinda ni waziri mkuu muoga kuliko wote aliyewahi kutokea ktk historia ya tanzania......analia bungeni badala ya kutetea hoja,sasa amekuja na hoja ya wamafisadi kuzomewa badala ya kuchuliwa hatua na kuwajibishwa....he is coward like himself....nimenuna sanaaaaaaaaa ingawa haisaidii kabisa
 
Ni jambo la ajabu kuruhusu wananchi wawaite mafisadi wezi lakini serikali inashindwa kukusanya ushahidi na kuwafikisha kunakohusika! Je katika hilo wakiamua kujichukulia sheria mkononi kwa kuchuma magari ya mafisadi si itakuwa balaa kifupi jamani tuwe serious kidogo na kauli zetu.
Tutafute dawa ya matatizo na siyo tuoa vitu ambayo vitaleta chuki, hivi Pinda na mimi mwananchi ni nani kati yetu anayewajua vizuri mafisadi? Bila shaka ni yeye, aanze yeye kuwazomea kisha ahamasishe wanachi kwani wanaanchi tunategemea sana mikono ya wanasiasa katika kuwatambua mafisadi kutokana na ufinyu wa access ya data.
 
Huyu nae arudi kwao Kibaoni akapumzike. Kazi imemshinda
 
KWANZA JINA LAKE UNALIONAJE???PINDA MTOTO WA MKULIMA,YAANI HAPO NDIO MWISHO WA KUFIKIRI KAFIKA MWISHO HAPO,SIJUI KATUMWA NA VASCO da GAMA

NAUNGA MKONO HOJA YA KUPELEKA HOJA BUNGENI AJIUZULU PINDA HAFAI BORA LOWASA ARUDI
Ohhooohhhh sasa wewe unataka kuharibu unaesema arudi Lowasa..... Chonde chonde usirudie hilo neno..... Tunapinga wezi wa mali ya Uma unapendekeza warudishwe wezi... Sema apewe Pombe Magufuri uje uone nchi itakavyokimbizwa mchaka mchaka
 
jamani enough is enough with Pinda. Tuungane watanzania kumkataa Pinda kwani hana analolifanya pale ikulu, wabunge wa upinzani nawaomba mpekeke hoja ya kutokuwa na imani na Pinda kwa sababu zifuatazo;
1. Hana uwezo wa kuchukua maamuzi kama msimamizi mkuu wa serikali - alilia bungeni, akasema wanaoua albino wauawe, akakataa v8 lakini hakuzuia ununuzi wake

2. Ni mwoga tena mnafiki

3. Si mkweli - alidai ana mil 15 tu kama mali binafsi wakati akijua si kweli
4. Anachochea wananchi kuchukua hatua za kisheria bila kuhusisha mahakani - kuzomea viongozi je si hali ya hatari yaweza kutokea???

Jamani chonde chonde huyu mnafiki tumtoe kwa maendeleo ya nchi yetu kashindwa kazi.
 
Inaonekana Pinda anajua hata wakipelekwa mahakamani kwa utawala wa sheria wa Kikwete hawata chukuliwa hatua zozote sasa ili kuwakomesha ni kujichukulia sheria mkononi. Ruksa watanzania kujichukulia sheria mikononi imehalalishwa na Waziri Mkuu
 
tukishachukua hatua mikononi anaanza kulia
 
yaaani nchi hii bwana utadhani watu wamerogwa ..viongozi wanaongea matapishi as if wamelewa chang'aaa ..yaani mi nikimsikia mkwere na huyu pinda natamani kutapika ....mara mia Lowassa
 
KATIKA HALI YA KUSHANGAZA KABISA NA KUCHEKESHA WAZIRI MKUU PINDA PETER KAYANZA AMEWAASA WANANCHI WA IRINGA KUWAPIGIA MAKELELE YA MWIZIIIIIIIIIIIIIIIIII WALE WOTE WANAOHUJUMU MALI ZA UMMA KAMA KINA ROSTAM NA WENGINE,ETI PINDA ANADAI HIII ITASAIDIA KWANI WALA HELA ZA UMMA HAO WATAONA AIDU NA KUACHA TABIA YAO

SASA CHA KUNISHANGAZA HAPA NI AKILI NA UELEWA WA WAZIRI MKUU HIVI KUWAITA HAWA JAMAA WEZIIIII BILA KUWACHUKULIA HATUA KUNASAIDIA NINI??KWELI JAMBAZI ,JIZI,LIHUJUMU UCHUMI JITU LINALOJILIPA BILIONS OF BILIONS KULIITA MWIZII INATOSHA ???KWANZA LITAKUSIKIA SAA NGAPI LENYEWE LINAKULA PIPA ALWAYS NA LIKIWA ARDHINI LIKO KWENYE VOGUE XX8 FULL AC VIOOO JUU ANA MUDA WAKUSIKILIZA KELELE ZA WALALA HOI HUYU

KIPINDI KILICHOPITA PINDA ALILIAA BUNGENI,JAMBO LA AJABU KABISA KWA WAZIRI MKUU,LEO ANALETA MAIGIZO KWENYE ISSUE NYETI

nafikiri wabunge wetu wapeleke hoja bungeni huyu PM ajiuzulu,analeta sanaa nchini;;

Aliwahi kusema kuwa mafisadi ni watu hatari, tukiwashika nchi itayumba, maana yake tuwe nao ili nchi isiyumbe,huyo ndo waziri wetu mkuu
 
Ni mwanasiasa mwenye majibu marais kwenye masuala magumu na wakati mgumu sana kwa taifa hili.......hajui analosema,anasema ili mradi tu wakati upite naye aondoke mbele ya macho ya hao anaowahutubia huku akiwa hajaharibu image yake,anataka awafurahishe watu,yawezekana akitoka hapo anaenda waomba msamaha hao aliosema wazomewe.....lol.......he is a weak/cheap politician and leader na hafikirii zaidi ya urefu wa pua yake na coward kwa kushindwa kuchukua uamuzi hata mmoja mgumu kwenye matatizo magumu ya nchi hii kipindi cha uongozi wake.
 
kubali msikubali wanaJF Lowasa alikuwamtendaji mzuri serikalini ktk wizara zote alizowahi kuongoza na hata uwaziri mkuu alimfunika sana kikwete ktk utendaji,tatizo ndiohilo la ufisadi ilakiutendaji tumpe tano.ashe nai
 
KATIKA HALI YA KUSHANGAZA KABISA NA KUCHEKESHA WAZIRI MKUU PINDA PETER KAYANZA AMEWAASA WANANCHI WA IRINGA KUWAPIGIA MAKELELE YA MWIZIIIIIIIIIIIIIIIIII WALE WOTE WANAOHUJUMU MALI ZA UMMA KAMA KINA ROSTAM NA WENGINE,ETI PINDA ANADAI HIII ITASAIDIA KWANI WALA HELA ZA UMMA HAO WATAONA AIDU NA KUACHA TABIA YAO

SASA CHA KUNISHANGAZA HAPA NI AKILI NA UELEWA WA WAZIRI MKUU HIVI KUWAITA HAWA JAMAA WEZIIIII BILA KUWACHUKULIA HATUA KUNASAIDIA NINI??KWELI JAMBAZI ,JIZI,LIHUJUMU UCHUMI JITU LINALOJILIPA BILIONS OF BILIONS KULIITA MWIZII INATOSHA ???KWANZA LITAKUSIKIA SAA NGAPI LENYEWE LINAKULA PIPA ALWAYS NA LIKIWA ARDHINI LIKO KWENYE VOGUE XX8 FULL AC VIOOO JUU ANA MUDA WAKUSIKILIZA KELELE ZA WALALA HOI HUYU

KIPINDI KILICHOPITA PINDA ALILIAA BUNGENI,JAMBO LA AJABU KABISA KWA WAZIRI MKUU,LEO ANALETA MAIGIZO KWENYE ISSUE NYETI

nafikiri wabunge wetu wapeleke hoja bungeni huyu PM ajiuzulu,analeta sanaa nchini;;
jamani tumsamehe huyu mzee keshapitwa na wakati hajui hata anaongea nini
 
Back
Top Bottom