Mwizi anapokuwa mwanamke!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,803
13,034
eYO6tTwkIrx.jpg


Huko kwa mzee Kibaki mwizi mzoefu , mwanamke kakamatwa na Polisi jamii.
Hebu fikiria mtoto mzuri huyu kaiba nini?
 
nyangá u wote wako ivoivo mzee. si cha mwanamke wala mwanaume, kwao chapaa kwanza ustarabu badae.
 
Hata TZ hii kitu ipo kwa sasa. Wanawake ni wezi sana hasa katika public places, mikutanoni, sokoni, super markets, masoko ya mitumba, maonesho mbalimbali, n.k. wanakuwa wamevalia baibui/kininja!!
 
huyo atakuwa mwizi wa magari, ama muuza madawa ya kulevya. wanawake wa kenya kwa kweli wamejitahidi. hawachagui kazi
 
Nashangaa wanaoshangaa mwanamke kukamatwa sababu ya wizi,hivi dunia hii kwa sasa ina kiumbe mwizi kumzidi mwanamke.Tatizo mnaoibiwa huwa wala hamuhisi kuwa mnaibiwa.Ila kwa sisi tunawaita MAJAMBAZI WA HIARI,hakukabi wala kukushikia bunduki unatoa mwenyewe kwa hiyari yako..
 
eYO6tTwkIrx.jpg


Huko kwa mzee Kibaki mwizi mzoefu , mwanamke kakamatwa na Polisi jamii.
Hebu fikiria mtoto mzuri huyu kaiba nini?

Wizi ni broad term - yaweza kuwa mchezesha upatu, ni yule ambaye anavutia matajiri kwenye 'mdomo wa majambazi', na kadhalika!
 
Polisi jamii, yani mimi ntajiunga karibuni, watu wanaibiwa sana!
Hasa wenza wao!
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom