Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
Manji, Mengi 'wamwaga' misaada Mbagala
Inaweza kuwa ni kutokana na moyo wao wa kujitolea wka jamii lakini kutokana na 'uhasama' wao inaweza kuonekana kama ushindani. Sasa hivi Manji yuko huko Temke akitoa misaada kwa waathirika wa milipuko ya mabomu. Wakati huo huo, taarifa zinasambazwa pia kuwa Mengi naye anaelekea huko Temeke kwenda kutoa misaada kwa waathirika. Yeye atakabidhi misaada kwenye ofisi ya meya wa Temeke saa sita mchana huu