Mwita 25 BANNED-alistahili kwakweli

Status
Not open for further replies.
RIP IN PEACE. We know you will soon assume another ID. I sincerely loathed you. You were quick to divert attention from the main topic at hand. You always ended up hijacking the most noble causes and certainly brought them to anti-climax! The threads you started were enough to keep people discussing nonesence! I Wish You Die Forever!

kumbe aki pm mtu anaandika vitu vya maana basi angeendelea hvo hadi jukwaani................sio coz ni anti chadema ka kijana kalikua kana dharau sana na kujikuta ndo ka legendary ka jukwaa

ulijuaje kama nikijana

ni msiba kwa wana SISIEM kuona kwamba waliomtuma kujibu hoja zao mitandaoni kula ban..................nadhani ataenda kwenye blog ya MS wakabadilishane upuuzi wao wenyewe.

pumzika kwa amani.

jana usiku katukanana sana na jamaa mmoja hvi anaitwa Arafat tena yakuhusu mama,jamani mbona kijana hana adabu hvi?

Apumzike kwa amani maana kijana alikosa adabu kabisa na alikua mchovu wa kujenga hoja

Hahaha kwel kazi sana.

Ivi kama mnataka kumjua mwita Phisical si mseme jaman.

Muweke hapa mkuu though nakumbuka one day ulimpiga mkwara akapotea kabisa nafikiri anakufaham,ila mkuu anakera sana many times anatumia lugha kali halafu akili yake ameifanya kua kiziwi kwa kila jambo

RIP IN PEACE. We know you will soon assume another ID. I sincerely loathed you. You were quick to divert attention from the main topic at hand. You always ended up hijacking the most noble courses and certainly brought them to anti-climax! The threads you started were enough to keep people discussing nonesence! I Wish You Die Forever!

Bora kwani huyu kila nikisoma hoja zake nlikua nikipata kichefuchefu ikiwezekana asirudi tena kabisa humu

Narudia tena!!

Hii kitu ni ya chadema!! Hata colour ya wall yake ina whte, red na blue..ambazo zote ni colour za CDM!

Kama ni rangi tu,basi ata ugali,wali,nyanya ect utasema ni chadema mbona unakuwa na ubongo mzito kufikiri?

My concern ni upendeleo wa wazi waz unaofanywa na mods! Ukiongelea mabaya CDM unakula ban! But hata uitukabe vp CCM..hamna anayekugusa

INGEKUWA HIVYO KWELI WE UNGESHALAMBA BAN LOOONGTIME KITAMAAMBO!! ANZISHEN YENYE RANGI YA KIJANI BAS

Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom