Mwisho wa siku police watashindwa kujitetea na kusema hivi...........

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
581401_3869313134788_716829542_n.jpg


Police nao watakuwa wakijitetea kama hivyoo
 
Watasema kutokana na uchunguzi tuliofanya marehemu Mwanosi alijitoa mhanga.
 
shame on them,lakini nimefurahishwa na jazba ya anayetazama television hata katuni haziwapendi polisi.
 
Pia camera na vile vyombo vya kunasia sauti vya kwake vilipata shoti baada ya kusogelewa na binduki na vikamlipua ghafla
 
wala si ajabu kusikia hayo. wanatafuta njia ya kutokea lakini wanakosa.
 
Pamoja na hayo mabaya ya Polisi, ukweli kwa kiasi fulani wanasaidia. Mfano hapa Dar na huko Unguja kulikuwa hakukaliki kilasiku ilikuwa ni vurugu tupu. Maandamano kila kukicha na makanisa kuchomwa moto. Lakini angalia baada ya Madevu na Ponda kuwa ndani, kipindi hiki tumeona utulivu. Inaonyesha kuwekwa ndani ndugu hao kumeleta utulivu.
 
Back
Top Bottom