Mwisho wa Joseph Kony wa Uganda?

Lengo ni kuanzisha military bases huku East Africa,maana walitamani sana kwa muda mrefu....

mkuu lengo si kuanzisha base in East Africa kwani toka zamani walishasema kwenye base za marekani lazima ziwekwe kwenye nchi zenye bandari na uganda hawajakamilika kwa kigezo hicho

lengo kuu ni kudhibiti mafuta yaliyogunduliwa UGANDA
 
lengo kuu ni kudhibiti mafuta yaliyogunduliwa UGANDA[/B][/QUOTE] umeonaeeee..
 
Wewe vipi?Mbona huoni mbali.Hivi unadhani wamarekani wanawapenda Waganda kiasi hicho.No way.Look at what is happening in their own soil.Aibu tupu.Kama wangekuwa na upendo wa kweli wangeanzia kwao.Hao askari wanafuatilia mikakati ya mafuta!
Taarifa kutoka pentagon Us rais Barrack Obama ametuma jeshi la watu mia moja kupambana na waasi wa kundi la lords resistance army(LRA) Kaskazin mwa uganda.Hii inaweza ikasaidia kuondoa waasi hao waliosumbua kwa muda mrefu..source Voa
 
It remains sad and disappointing that bado kuna some great thinkers wanaweza kuunga mkono ufedhuri huu, kaskazini mwa Uganda raia wanateswa na majeshi ya mseveni, watoto na akinamama hukusanywa kwenda kuzunguka vikosi vya jeshi ili kuviwekea shield leo hii members wanataka ku-fool ulimwengu kuwa jeshi liko pale kulinda wananchi?!, watanzania na baadhi ya waafrica hamjifunzi juu ya habari potofu zinazotolewa na media za kibeberu ili kuhalalisha ufedhuri wao?!. Tanzama hata Jonas Savimbi alinyimwa haki yake ya kushiriki katika serikali na wakaona zawadi inayomfaa ni kifo, vivyohivyo kwa Juvenali Habyarimana, Merichior ndandaye na Ntaryamila. All in all tunahitaji non spuriousness kwenye uchambuzi wa haya matatizo ya nchi za Africa. Natamani majeshi ya Pentagoni yashindwe kama yalivyoshindwa kule Ethiopia, iraq, pakistan na Afghanistan. Mungu ibarki africa na watu wake.

Ndg yangu umenigusa sana hapa, mi naamini kuna watu wanashabikia kitu wasichokijua kabisa... kuna watu wanashabikia kitu kwa kusikia tu bila kufanya uchunguzi yakinifu... kuna watu wanadhani USA imepeleka wanajeshi kwa ajili ya kuwasaidia waganda, wenye mtazamo huu hawaujui ukweli. wanahitaji kujulishwa.
Kuna siku mimi nimewawekea hapa Military Bases za USA duniani kote naona watu vichwa vyao havikuclick sasa ntaanza kuwaelisha hapa..
 
sasa haya mafuta yanataka kuleta balaa uganda, jana rais kahu2bia mara ya pili within two weeks kisa mafuta, ni mvutano wa kutisha. now lets wait n c. huyo joseph kony yuko central africa
 
Wewe vipi?Mbona huoni mbali.Hivi unadhani wamarekani wanawapenda Waganda kiasi hicho.No way.Look at what is happening in their own soil.Aibu tupu.Kama wangekuwa na upendo wa kweli wangeanzia kwao.Hao askari wanafuatilia mikakati ya mafuta!
dah wewe mi sio nilieripoti hao ni voa sasa wewe unakurupuka tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom