Taarifa kutoka pentagon Us rais Barrack Obama ametuma jeshi la watu mia moja kupambana na waasi wa kundi la lords resistance army(LRA) Kaskazin mwa uganda.Hii inaweza ikasaidia kuondoa waasi hao waliosumbua kwa muda mrefu..source Voa
Hii inaweza kuwa hatua nzuri sana and I hope itawaondolea mateso watu wa Kaskazini hususan watoto mateso ya kusafiri usiku kwenda kulala kwenye centres maalum wakihofia kutekwa na majeshi ya Kony.
Museven na majigambo yake amemshindwa Kony for all these years. Lakini cha ajabu anatamani kuwa rais wa Africa Mashariki! Kama ameshindwa kupambana na mtu mmoja -Joseph Kony atawezaji kupambana na wahalifu wa nchi 5 zinaziunda Jumuiya ya Africa Mashariki?
It remains sad and disappointing that bado kuna some great thinkers wanaweza kuunga mkono ufedhuri huu, kaskazini mwa Uganda raia wanateswa na majeshi ya mseveni, watoto na akinamama hukusanywa kwenda kuzunguka vikosi vya jeshi ili kuviwekea shield leo hii members wanataka ku-fool ulimwengu kuwa jeshi liko pale kulinda wananchi?!, watanzania na baadhi ya waafrica hamjifunzi juu ya habari potofu zinazotolewa na media za kibeberu ili kuhalalisha ufedhuri wao?!. Tanzama hata Jonas Savimbi alinyimwa haki yake ya kushiriki katika serikali na wakaona zawadi inayomfaa ni kifo, vivyohivyo kwa Juvenali Habyarimana, Merichior ndandaye na Ntaryamila. All in all tunahitaji non spuriousness kwenye uchambuzi wa haya matatizo ya nchi za Africa. Natamani majeshi ya Pentagoni yashindwe kama yalivyoshindwa kule Ethiopia, iraq, pakistan na Afghanistan. Mungu ibarki africa na watu wake.
Hii inaweza kuwa hatua nzuri sana and I hope itawaondolea mateso watu wa Kaskazini hususan watoto mateso ya kusafiri usiku kwenda kulala kwenye centres maalum wakihofia kutekwa na majeshi ya Kony.
Museven na majigambo yake amemshindwa Kony for all these years. Lakini cha ajabu anatamani kuwa rais wa Africa Mashariki! Kama ameshindwa kupambana na mtu mmoja -Joseph Kony atawezaji kupambana na wahalifu wa nchi 5 zinaziunda Jumuiya ya Africa Mashariki?
nakupa mia kwa hilo kwani jamaa wanajua kabisa pia tenda ya mafuta wamepewa hao wanenen sasa wanatakata kunyonya kwa utulivu museven anaakili angeweza wapa wachina mafuta kawapa wamarekani ili waje wampe pia mapesa ya kupolesha jeshi na vifaa subili jamaa atakuwa njema kijeshi kuliko nchi yoyo hapa kijeshi ebu subuli juzi kanunua ndege babu kubwa za kijeshiusa wana akili sana, tanzania tungekuwa hiv tungekuwa mbali. Wanajua kutumia resources zao vizur kwa maslahi ya kwao, even to kill people. Yote hayo ni kwa ajiri ya mafuta. Hao wanajeshi hawaendi bure, kuna kitu kimejificha. Wait and see
Pigia msitariMarekani inaendaga kusaidia sehemu zenye mafuta tu?? what is behind their help to Uganda??
Marekani inaendaga kusaidia sehemu zenye mafuta tu?? what is behind their help to Uganda??
True that mkuu ameua sana na kubaka mi naona ni moja ya maamuzi mazuri kwa us ingawa hatujui kuna nini nyuma ya huo msaada!!