Mwisho afunga pingu za maisha na Merly wa Namibia

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
IMG-20111210-00110.jpg

Ilikuwa siku ya kupendeza kabisa kwa ndugu Mwisho Mwampamba na Mwanadada Merly kutoka Namibia kufunga pingu za maisha nikimaanisha ndoa na kuitwa mume na mke. Ndoa hii ilifungwa tarehe 10 mwezi huu wa 12 pande za Parliament Gardens Windhoek Namibia.

%EF%A3%AB%28_%29Meryl%28_%29Kelly%28_%29Mwisho%28_%29Monkey%28_%29Elizabeth%28_%29%EF%A3%AB.jpg


Nawatakia maisha mema katika ndoa yenu pamoja na malezi mema ya mtoto wenu mliompa jina la Monkey.
 
mbona mafoto siyo murua? Hayaonekani vizuri au ni uzee wangu macho hayaoni barabara?
 
Hiyo picha ya mwisho kama Mwisho ana Second thought!

Mtoto anaitwa Monkey? My god?

Pamoja na yote, hongera Mwisho, the Comedy walikuwangia sana kuwa umefulia.
 
congrats for living up to your BBA committment; wengi walidhani it was a mere publicity stunt
 
hongera zako mkuu mwisho kwa kubadili status yako toka complicated mpaka married..
 
Hiyo picha ya mwisho kama Mwisho ana Second thought!

Mtoto anaitwa Monkey? My god?

Pamoja na yote, hongera Mwisho, the Comedy walikuwangia sana kuwa umefulia.

mkuu kwani huwezi kuwa umefulia na ukaoa vilevile??
 
Monkey kafurahi kupata mdingi.

Hongera Mwisho & Meryl wengi walisema ni TV stunt tu ili kupata ushindi. Now imekuwa kweli
 
Pingu za maisha? Unamjua Mwisho au unamsikia? au kwa kuwa Merly ana kitumbo? muulizeni Ray C anamajibu. Jamaa anapita hapo mtaniambia siku moja humu humu ndani ya jf
 
Wapi Ray C??? Wapi Raha P??? Kweli ngoma ikipigwa sana mwishowe upasuka paaaaaa kaolewa mwingine kabisa.
 
Back
Top Bottom