Mwintanga aachiwa huru.

Mahakama yasema hana hatia, kasota miaka minne
Huyu Jaji si ndie CA ilitengua uamuzi wake kuhusu umri wa Lulu! Hukumu zake nyingi huwa zinatenguliwa na Court of appela (CA) anyway! Hoja ya msingi mbele yake ilikuwa amount ya dawa au possession of dawa? Uhuru wa mahakama uheshimiwe.
 
Mahakama ni chaka lilaloficha majambazi, majizi,wabakaji,wauza dawa kwa ufupi wahalifu wako salama zaidi wanapofikishwa Mahakamani...ndio maana ni bora ukishika kibaka malizana nae mwenyewe...
 
Back
Top Bottom