Mjenda Chilo
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 1,467
- 513
Nimeshindwa kuconnect dots kitendo cha 'nabii na mtume' Mwingira na shamba lake kuchomwa moto kule Sumbawanga. Aliwahi kujitokeza na kujustify kitendo chake cha kununua shamba kutoka PSRC, lkn inaonesha wazi wananchi hawataki uwekezaji huo though sijustify kitendo chao cha kuchoma moto mpaka matrekta. Inaelekea wale wote walionunua mali zetu kiubwerere, yeye, Mzindakaya, Madabida nk wanaanza kuonja shubiri ya ujanja ujanja wa kula vyetu. what should be the proper move? kuiingiza serikali kwenye biashara kwa kunationalize au kukubali matokeo kwamba tumepigwa? ila najua hawa 'wawekezaji' they wil never enjoy their investments kama trend yenyewe ndo hii. Habari ya kuchoma shamba la Efatha na matrekta Rukwa, leo Taarifa ya habari TBC.