Mwingira, frenandes, lusekero, kakobe, lwakatare !!!!!

Wapendwa Shalom,
Sina kipingamizi na Imani za watu lakini kuna vitu viliniudhi hasa huyo anayejiita MWINGIRA kitendo cha kumtukana Mkuu wa nchi kwa matusi kama yale ya nguoni hakikubaliki. yeye ahubiri kivyake na wanokwenda kwake lakini atuachie amani yetu.
Biblia na vitabu vyote vitakatifu vinasema MHESHIMU BABA NA MAMA YAKO NA WENGINE WOTE WENYE MAMLAKA.
Issue za pete na makabuli zinatoka wapi hapa.
MWINGIRA BEHAVE.

Mwana na wewe unao nini mpete wa kito cha kijini jini? Angemkaushia eeh!
 
tatizo tulilo nalo sisi watanzania hatutaki hata kujiuliza maswali yale ya kawaida sana na ndo maanatumekuwa tukifeli sana somo la hesabu hivyo basi kama mwanafunzi mzuri wa biblia utajua kwamba swalala kuwepo mitume tena wengi zaidi sana nyakati hizi za mwisho ni kibiblia kabisa nikwakutokjua kwetu maandiko mathayo:22:29 ndikokunako tukosesha sasa Yesu anasema katika mathayo :24:11, 7:15-18 kwamba watatokea wengi manabii namitume wa uwongo lakini je hawatakuwako wa kweli? mathayo 7:2 na kwa msingi mkubwa yesu ameeweka mambo wazi jinsi ya kujua mtumishi wa kweli wa MUNGU na wa uwongo kwahiyo kwamtu mwenye busara na mwenye kufikili kikamilifu kuwepo kwa mitume feki sio msingi wa kuwaita kila mtu maarufu ajulikanae kama wakili wa MUNGU kuwa ni nabii feki huu ni upumbavu swali ni je huyo unae mtaja kuwa ninabii wa uongo wewe uwe wa kwanza kuthibitisha ki maandiko juuu ya shutuma zako na si busara kusikia tu mtaani na wewe unaanza kusambaza huo uhuni itakugarim kama huyo nikweli ni mtumishi wa MUNGU sasa mfano wa hao ulio wataja kwanza wote hao hawafanani kabisa kimafundisho sasa hapo ndipo ulipaswa wewe ujiulize kama hawa wote wanapingana kwa msingi wa mafundisho yao je wapiauyupi kati yao ndiko kuna MUNGU wa kweli ili nami niende nijifunze ikibidi ili kuepuka mtego tembelea huduma zote nawe utachuja kwasababu wewe nimwanadamu mwenye dhamili ndipo utaju haswaa cha kuandika tena:sad::sad:

embu tembele hapa
https://bishopzacharykakobe.org/en/[h=3][/h]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom