Sheer nonsense. Hakuna connection yoyote baina ya bad governance na aid..utumbo mtupu. Waseme tu kwamba na wao wameishiwa, kwani hizo 'aids' lazima zipite kwa kutumia gvt machinery ambazo tunajua haziezi kuleta matunda yalokusudiwa? sote tunajua kuwa ukipitisha aid kwa gvt machinery, 60% itatumika kuhudumia hiyo machinery, 30% zitaliwa na 'wajanja' wachache na wakusudiwa wataishia kupata 10%. Some are these mzungu zinajifanya smart sana only kudhihirisha utupu wao.
@Abdulhalim, hapo kwenye red: sio kweli. There is direct link between aid and bad governance. And for your information Aid ni kiini macho, aid ni diplomatically accepted word for 'bribery'. Marekani hawatupi vyandarua vya mbu kwa sababu wanatupenda, waingereza hawachangii bajeti yetu kwa sababu wamegundua sisi ni binamu zao, wajapani hawatujengei barabara kwa sababu wanalemewa na kibunda cha 'hela' hivyo wanatafuta mahali pa kupunguzia uzito.Walitupa Aid meaning bribery.