Mwili wa diwani wa NCCR unaagwa kasulu mjini

kajunju

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
999
315
Mwili wa aliyekuwa diwani wa nccr mr sabuni, unaagwa stand ya tax hapa ksulu mjini.diwani huyu kwa vipindi zaid ya viwili, alikuwa diwani wa mgera,kilelema. Enzi za uhai wake alikuwa diwan mchapa kazi hasa. Amelazwa kwa wiki moja hospital ya kabanga had anakumbwa na mauti jpili iliyopita. Diwani huyu ndiye chimbuko la chama cha nccr mageuzi kuwa tishio mkoa wa kigoma. Mungu ametoa, mungu ametwaa, jina lake libarikiwe. Amina
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom