Mwili unasisimka

Hapana utakuwa umekosea.
Yeye hajaonekana humu tangu tar 19 mwezi huu wa Sept.
:ban: hana, japo aliniambia anakwenda Zambia Kikazi.
Halafu yeye wala si wa huku ChitChat.
Yuko kule Jukwaa la Siasa na Jukwaa la Business.

shostii
 
Me nakumbuka kuna member humu Jf niki Quote uzi wake,mwili wangu wote ni lazima unisisimke.

Huyo lazima atakuwa ni mtakatifu tu..

Mpaka leo Sijajua ni kwanini.

Sio kwa sababu ya ile mada ya nanihiii

Huwezi kuamini Catherine, sijawahi kuonana nae na wala simfahamu na wala Japo Pm ya kumsalimia tu sijawahi.
Ila Oooohh!!
Niko Crazy juu yake.

Hapo umedanganya kwanza PM yangu mbona hujaijibu..??

Ila Anajijua nadhani.

Ninajijua sana,need ai sei moa.??

Hapana utakuwa umekosea.
Yeye hajaonekana humu tangu tar 19 mwezi huu wa Sept.
:ban: hana, japo aliniambia anakwenda Zambia Kikazi.
Halafu yeye wala si wa huku ChitChat.
Yuko kule Jukwaa la Siasa na Jukwaa la Business.

Hapa sasa mbona unaharibu sikukwambia naenda Zambia bana nilikuwa naenda kwa MUGABE
na rutashobolwa nikikuona hapa nakuitia Erickb52 na Arushaone.....
 
Last edited by a moderator:
Sio kwa sababu ya ile mada ya nanihiii

Hapo umedanganya kwanza PM yangu mbona hujaijibu..??

Ninajijua sana,need ai sei moa.??

Hapa sasa mbona unaharibu sikukwambia naenda Zambia bana nilikuwa naenda kwa MUGABE
na rutashobolwa nikikuona hapa nakuitia Erickb52 na Arushaone.....

Hv wewe unamtakia nini ruttashobolwa wangu jamani? Muache mtoto wa kiume jamani anawiri,ameremete,ang'ae.
Hao unaotaka kuwa ita ni sawa na tembo kuvunja ubua.
Afu we ujue ni msiri wangu afu hapohapo tena unakuwa Kuwadi.
PM gani bhana?
Acha longolongog
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom