Tatizo la mwili kuwaka moto

doctors nisaidieni,
kuna wakati huwa nasikia mwili unawaka moto especialy sehemu za mapaja tena panakua na maumivu,hivi hii inasababishwa na nini na tiba yake ni nini?

pole sana - nenda kapime kiasi cha sukari mwilini mwako
 
Inawezekana mishipa ya fahamu haifanyi kazi vizuri labda kwa vile inabanwa na mifipa au muscles. jaribu kwenda kwa daktari akupe ushauri na sijui tatizo lako ni la muda gani na kazi zako za kila siku ni zipi. Pia jaribu kufanya mazoezi laini ya kunyooosha misuli ili mishipa ya fahamu na damu iweze kuflow vizuri na kwa urahisi.
 
Hili tatizo husababishwa na Kuathiriwa kwa Mifumo ya Nerve tokana na ugonjwa flani au mwili wenyewe kushambulia nerves flani kwenye mwili...!! Watu wenye ugonjwa wa kisukari hupata sana hili tatizo lakini hutokea kwa watu wa kawaida pia ambapo sababu inaweza kuwa Upungufu wa Vit B mwilini. So nenda hospital lakini pia jarbu kutumia Neurosupport Vidonge na Pregabaline au Gabapentine vidonge husaidia kutibu maumivu ya hiii hali lakini Muhimu sana uende hospital kujua chanzo ni nini maana unaweza ukawa unatibu Matokeo ya ugonjwa kila siku badala ya kutibu Ugonjwa husika.

Poleni sana
 
Mzee mimi mwili unawaka moto muda wote hasa mchana, kizungu zungu muda wote, hakuna dawa ninayosikia, hospitali nimeshakimbia sana karibu zote hadi muhimbili, nimepima karibuni magonjwa yte duniani ila majibu yte hakuna shida, hvyo vidonge ulivyomention nimekula mpaka basi na madozi mengine lukuki lakin mpaka sasa hakuna nafuu na sasa ni zaidi ya miezi 6 hayo matatizo ninayo nishakimbia sana nyumba za ibada still wapi, yaani mpaka najiuliza au kuna mahali nilikula tunda kimasihara mwenye mzigo kagundua ndo anaamua kunitesa.

Duuh bhasi hilo tatizo mkuu...!! Pole sanaa...
 
.nimekuja pm tafadhari
 
Back
Top Bottom