Mwili kuuma baada ya mazoezi

HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,551
708
Hi jf members.
Nipo katika programm ya kufanya mazoezi ya viungo na kucheza mpira. Ni week sasa, tangu nianze tunafanya mazoezi asubuhi (viungo) na jioni (tunasakata kabumbu). Mwili umevunda unauma na naona hauachi..... Duh this is intensive training, hoi. Kula tunakula vema sana tu but mwili wote nyang'anyang'a....
Kweli utaacha kuuma??? Au kuna dawa za kupaka ili kuituliza misuli?
 
Misuli ikizoea itaacha kabisa kuuma na mwili utazoea kama vile unatembea tu!La muhimu usije ukakatisha eti ipoe ndo uanze tena maana yatakukuta hayo hayo.
Hongera kwa kufanya mazoezi!
 
misuli ikizoea itaacha kabisa kuuma na mwili utazoea kama vile unatembea tu!la muhimu usije ukakatisha eti ipoe ndo uanze tena maana yatakukuta hayo hayo.
Hongera kwa kufanya mazoezi!

lizzy. Thanks.... Ngoja niendeleze hobby
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom