Mwigulu ule moto wa mwanzo umeishia wapi!?

Atafukuzwa karibuni hasa akiendelea kuomba nafasi za wateule i.e. Mbowe na Slaa..

Atatimuliwa bure, namshauri awe na tabia za kawawa na nyerere..ndivyo wakubwa wanavyotaka hasa wa aina yake..
Do you think Zitto is more reliable in Chadema than others?? You people you are cheating yourselves.
 
Ccm sio tume ya uchaguzi. Hatushughuliki na vituo vya kupigia kura
Kweli CCM sio tume ya uchaguzi???

Mwigulu naomba nikupe hesabu za kwa nini mtashindwa Arumeru Mashariki. Mwaka 2010 Nassari aligombea akapata kura zaidi ya 19,000 dhidi ya 34,000 za marehemu Sumari ingawa yeye anadai alipata 27,000 hizo tuziache. Kumbuka wakati anagombea alipigana peke yake bila kupewa nguvu na uongozi wa kitaifa CDM na hakuwa na pesa za kutosha za kampeni dhidi ya Lowassa aliyejikita kumsaidia mzee Sumari. Tofauti na uchaguzi ule, uchaguzi huu amepewa nguvu kubwa na uongozi mzima wa CDM wamepiga kambi huko kama unavyoona, kwa mawazo yako safari hii unategemea atapata kura ngapi!

Kimahesabu: mwaka 2010 waliopiga kura walikuwa 55,000, Sumari 34,000 - Nassari 19,000 = 15,000.
Hizi kura 15,000 ndizo CCM wanazozitafuta, ki vipi.

Tuache upenzi, kwa sasa timu yenu iliyo ground (Wassira, Sendeka, Lusinde na wewe) hamna uwezo wa kuzipata hizo kura 15,000 kwa kumuuza Sioi au kuuza sera za CCM. Kwa hiyo (hear say) vile vituo hewa(55) vilikuwa na lengo la ku cover the difference.

Makadirio kila kituo kiwe na kura (hewa) 200; 55 x 200 = 11,000 at least mngeweza ku cover sehemu.

Mbinu ya pili ni ya kununua kadi ya mpiga kura, nikuambie hii huwa haisaidii sana inasaidia tu panapotegemewa matokeo ya 50/50, kwa vile huwezi ukanunua zaidi ya kadi 10,000 sana sana kadi elfu 2,000. Mbinu hii inahitaji uangalifu wa hali ya juu maana pindi mtakaposhindwa kuzitumbukiza kwenye masanduku inaweza kula kwenu. Kwa hiyo kwa mahesabu yangu kama mtafanikiwa hii mbinu mtakuwa na kura say 2,000-3,000.

Mnategemea kura 11,000 za vituo hewa na kura 3,000 za kununua kadi jumla inakuwa 14,000, taking everything under normal condition kuwa kila chama kina chance sawa ya kushinda. Hizi mbinu zikifeli basi jua mtakuwa kwenye nafasi kubwa ya kushindwa uchaguzi. Kama mtashinda, matarajio yangu mtashinda kwa margin ndogo kuliko ile ya Igunga, kama mtashindwa ina maana mbinu zenu zikifeli Chadema wataibuka washindi kwa more than 60%.(Statistician).
 
Back
Top Bottom