MWIGULU tena SUMBAWANGA Mjini

Kwa kuwa ccm wametoa list yao, nami napendekeza counter-List yangu ambayo itahakikisha imewasambaratisha:
1. Vicent Nyerere
2. Dogo Janja
3. Godbless Lema
5. Kamanda wa anga Mbowe
5. Halima Mdee
6. Heche John.
7. Huyu, kwa mafanikio yoyote yale ndani ya cdm ni lazima awepo- Dr Slaa.

Tegemeeni data mpya kabisa za uchafu wa ufisadi na rushwa wakati wa kampeni, hasa kufuatia chaguzi za NEC ya ccm. Dr yuko fit na ndiyo anafanya final 'wrap-up' ya facts zitakazowaacha mdomo wazi wanaSumbawanga na waTz kwa jumla.!

nashauri Dr Slaa afungue na kufunga kampeni,jimbo tunachukua bila zengwe.hii kichwa hakuna wa kuifananisha nayo baada ya Mwl Nyerere
 
Wakuu wa JF naona mnaenda kinyume na mapenzi ya Mungu.......Mungu anafanya makusudi kabisa akiivua nguo zaidi kupitia Mwigulu ili muone jinsi vyeti za Chama zilivyoraruka......mnatakiwa kuwa watulivu
 
AESHY HILLARY 17328 MWL.NYAMSEMO 17132 Hata hivyo Hapo ni mkachachuo wa hali ya juu, jiulize Lema aki-mobilise ma-control yake ktk wizi wa kura itakuweje
 
Wakuu wa JF naona mnaenda kinyume na mapenzi ya Mungu.......Mungu anafanya makusudi kabisa akiivua nguo zaidi kupitia Mwigulu ili muone jinsi vyeti za Chama zilivyoraruka......mnatakiwa kuwa watulivu
Glory to God. Ametuweka hai hadi tunakishuhudia kifop cha CCM.
 
Tunasikia tu kwamba ana mdomo mchafu. huku sisi hatutaki matusi,ukitukana tunakushusha jukwaani tunakutia bakora.Kama unabisha Mwigulu jaribu
 
CCM wameanza kuhema na kuanza kumnyemelea tena Filikunjombe, wanajua jamaa ana kundi kubwa nyuma yake wakizubaa ndiye pigo la mwisho kuizika CCM
 
wameshajua kuwa wanaenda kushindwa ndio maaana wapeleka comedians tu ili atleast kuonyesha presence!!
 
CCM wameanza kuhema na kuanza kumnyemelea tena Filikunjombe, wanajua jamaa ana kundi kubwa nyuma yake wakizubaa ndiye pigo la mwisho kuizika CCM

huyu naye alivokatwa jina lake kwenye chaguzi za kwa sababu ya visasi nitamshangaaa akienda huko!
 
Safari hii Mkapa atathubutu tena kwenda kujiaibisha??!!!

LZM ATAENDA, WADHAN BILA FISADI MKAPA NI NANI TENA? UKISIKIA MTU KUFULIA NDO CCM HAKUNA MWENYE UWEZO TENA, JAMAN KUNA JEMBE MOJA CDM LINAITWA MAWAZO, ANACHANA YULE NI NOMA, CCM WAESABU MAUMIVU, NA ZAID TULIVYOICHOKA NA MAKUNDI YAO YANAYOWATAFUNA, YAANI NI RAHA PIA UTAMUu
 
Mh! LUSINDE?!!!!.. Basi chama cha mabwe kimekufa!.. Tutasikia maneno kama kudadeki!.. Mashoga, na matusi ya nguoni!.
 
wameshajua kuwa wanaenda kushindwa ndio maaana wapeleka comedians tu ili atleast kuonyesha presence!!

NA KWA TAARIFA YENU KWA KIPIND IKI HAKUNA KITU CCM INAOGOPA KM KURUDIA UCHAGUZ MAANA NI DHAHIRI WANAONA WATASHINDWA PIA WANAJUA WANAVYOCHUKIWA NA WATANZANIa, DUH RAHA SANA KUWA MPINZAN
 
AESHY HILLARY 17328 MWL.NYAMSEMO 17132 Hata hivyo Hapo ni mkachachuo wa hali ya juu, jiulize Lema aki-mobilise ma-control yake ktk wizi wa kura itakuweje

EH SKUYAJUA MATOKEO YA LAST ELECTION, NI RAHA ILIOJE? APO NAJUA WALITUCHAKACHUA SANA HAWA MBWA, HAK YA MUNGU JIMBO LETU ILI, WATAKOMA NA MAKUNDI YAO YANAYOWASAMBARATI VLIVYo
 
Panga mauaji na matokeo sasa wa Tanzania wanakujua na wamejipanga vilivyo,sitakuja Sumbawanga hadi nikiona umepelekwa nitaandika Habari zako zote kwa kila ufanyalo hata ukilala ukakoroma uzuri unajua u kachero wangu
Watanzania wenzangu bwana, badala ya kuhurumia over 3.5bilion inazikwa kwa uchaguzi mdogo ktk eneo ambalo halina maji ya kutosha, madawati, vitio vya afya nk tunashabikia uchaguzi kama vile ni mechi ua Simba na Yanga. By the way hata uchaguzi ukarudiwa majibu yako wazi. CCM ITASHINDA. SUMBAWANGA? SUMBAWANGA? SIKU YA KUPIGA KURA, YAANI DAKIKA 30 TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA, CCM INASHINDA. LET US WAIT
 
Nchemba tena? Basi tujiandae na mazishi Sumbawanga!

Na fumanizi, uzuri wa Sumbawanga ukichukua mke wa mtu wala hupelekwi polisi, mwenye mke anatengeneza radi ya buku mbili tu inakutawanya kwisha kazi!
 
Back
Top Bottom