MWIGULU tena SUMBAWANGA Mjini

Kweli mkuu,, Hongera sana kwa mleta uzi. Ameonesha uzalendo mkubwa sana kwa nchi yake.
Spendi kurudia walichochangia wadau wengi humu, nilicho kipenda hapa ni hiki; Hivi magamba wanajua kuwa sasa hivi hawapendwi sio tu na wananchi bali hata ndani yao pia kuna wazalendo wanaopenda nchi yao kuliko chama chao? kwani huu uzi umefikaje hapa, someni alama za nyakati, ni kweli ccm imekufa!
 
Watanzania wenzangu bwana, badala ya kuhurumia over 3.5bilion inazikwa kwa uchaguzi mdogo ktk eneo ambalo halina maji ya kutosha, madawati, vitio vya afya nk tunashabikia uchaguzi kama vile ni mechi ua Simba na Yanga. By the way hata uchaguzi ukarudiwa majibu yako wazi. CCM ITASHINDA. SUMBAWANGA? SUMBAWANGA? SIKU YA KUPIGA KURA, YAANI DAKIKA 30 TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA, CCM INASHINDA. LET US WAIT

Kwenye red: Kwanini watu wa Sumbawanga wahana maji ya kutosha, madawati na vituo vya afya Nchemba? Kwanini? Hela za kuboresha huduma za jamii zimeenda wapi, Swiss? Na kama unaamini Tsh 3.5bn zinaweza kuboresha maisha ya wana-Sumbawanga, just imagine what Tsh 300bn would do? Halafu baada ya hapo umesema what does CCM mean kwa watu wale wale wasio na maji wala huduma za afya?
 
Hongera sana Mahakama ya Rufaa kwa uamuzi huo lakini mbona Sumbawanga Mahakama imefanya fasta hivyo wakati huko Arusha kwa Bw. Lema mwendo umekuwa ni wa kusuasua? Ama ni kweli kuna maelekezo kutoka Jumba Jeupe hapo Magogoni
 
CCM wangekuwa wanafunzi wangepata zero. Mwigulu ni disaster, kaleta balaa Igunga akaleta kushindwa Arumeru Mashariki, leo wanataka wampeleke tena na S'wanga mjini!!
nahisi walijadili wizi sio ushindi kwani sura wanliyiona suwanga nilipoenda sidhani kama ssiem wana lolote hata kama wakeshe siku 3 jimbo hilo ni la cdm
 
Watanzania wenzangu bwana, badala ya kuhurumia over 3.5bilion inazikwa kwa uchaguzi mdogo ktk eneo ambalo halina maji ya kutosha, madawati, vitio vya afya nk tunashabikia uchaguzi kama vile ni mechi ua Simba na Yanga. By the way hata uchaguzi ukarudiwa majibu yako wazi. CCM ITASHINDA. SUMBAWANGA? SUMBAWANGA? SIKU YA KUPIGA KURA, YAANI DAKIKA 30 TU BAADA YA VITUO KUFUNGULIWA, CCM INASHINDA. LET US WAIT
Mkuu ingekuwa vema kama ungefafanua ni vipi CCM inaweza kushinda tena kirahisi hivyo?

Watu wengi sana wanafahamu ugumu ilioupata CCM mwaka 2010 na ushindi mwembamwemba tena wenye utata sana ilioupata, sasa ni vipi tena una-undermine nguvu ya upinzani?

Kifupi huu utakuwa ni uchaguzi mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa Igunga na Arumeru mashariki.
 
Anguko lingine laja soon.mwigulu mwepesi sana kwa cdm mleteni tu mtuachie jimbo letu.
 
chadema mtumeni vicent nyerere huko sumbawanga, maana hicho kikosi chao nyinyiemu vicent nyerere anakimudu vizuri sana na wanamuogopa vibaya sana, mtumeni mwita mwikabe kapige baseline study na kupanga mashambulizi wapi yataanzia wapi yataishia na gharama stahiki watu tuko tayari kuchangia tu.... nyinyiemu kwisha kabisa hawana timu nyingine kabisa ... MUNGU ASANTE.

mhe.Vicent Nyerere alifanya kazi nzuri sana Arumeru, Mkapa anamkumbuka vizuri sana.
he is a smart person.
 
CCM ni sawa na mzoga wa fisi uliooza na sasa unatoa harufu kali. Je nani anaitaka?
 
Ikiwa Igunga na Arumeru CCM ilishinda kwa kura nyingi 2010, lakini ikajakushindwa kwenye chaguzi ndogo (hata Igunga Mahakama imethibitisha kuwa hawakushinda) sasa Je, Sumbawanga ambapo 2010 walipenyea kitundu cha sindano ya kushonea chupi, kwenye uchaguzi mdogo ujao itakuwaje? Kama sio kulia Mzinga kisawasawa!
 
uzuri jamaa huyu naona kwa mda huu unasoma post Mwigulu, hivyo atatoa majibu lkn kwa vile yle yale ushindi ni CDM
 
Kwa kuwa ccm wametoa list yao, nami napendekeza counter-List yangu ambayo itahakikisha imewasambaratisha:
1. Vicent Nyerere
2. Dogo Janja
3. Godbless Lema
5. Kamanda wa anga Mbowe
5. Halima Mdee
6. Heche John.
7. Huyu, kwa mafanikio yoyote yale ndani ya cdm ni lazima awepo- Dr Slaa.

Tegemeeni data mpya kabisa za uchafu wa ufisadi na rushwa wakati wa kampeni, hasa kufuatia chaguzi za NEC ya ccm. Dr yuko fit na ndiyo anafanya final 'wrap-up' ya facts zitakazowaacha mdomo wazi wanaSumbawanga na waTz kwa jumla.!
 
Back
Top Bottom