Mwigulu Nchemba: Tuhuma dhidi yangu hazina ukweli wowote

I could dissect the fallacies in the original post by the signature "toe to toe" Kiranga tradition, paragraph by paragraph.

But that would almost be like elevating it's vacuous balderdash.
 
Wakuu jangwani tunakwenda ama hatuendi! Twendeni kwenye somo la katiba, haya mambo ya majimboni nadhani wakati wake ni 2015.
 
Yea, wakati heading ya hii thread inasema: "Mh. Mwigulu Nchemba: Tuhuma dhidi yangu hazina ukweli wowote"

Huyo "yangu" ni nani?

Huyu yangu ni yeye Mh.

Huyu jamaa nilikuwa nadhani ni mtu smart lakini kila siku zinavyoenda nazidi kuona ni mtu wa aina gani, first class economist...lols
 
I could dissect the fallacies in the original post by the signature "toe to toe" Kiranga tradition, paragraph by paragraph.

But that would almost be like elevating it's vacuous balderdash.

Kiranga, dont waste your time and energy for this dude, dude's wack!
 
Yea, wakati heading ya hii thread inasema: "Mh. Mwigulu Nchemba: Tuhuma dhidi yangu hazina ukweli wowote"

Huyo "yangu" ni nani?

Personally, nimewasiliana na Mh. Mwigulu na ameonesha kushangazwa sana madai haya. Pamoja na kwamba ilimlazimu Nchemba kujibu madai haya hapa jamvini, lkn bado nimeona nisiliache hili jambo lipite hivi hivi.

Sasa Mkuu wewe huelewi kitu gani? Si nimeweka bayana kwamba nimewasiliana naye? Uzuri na mimi pia nilikuwepo kwenye mikutano hapa jimboni! Hivyo nilioona kila mara hio thread ya Patriq inapandishwa hapa jamvini kila mara nikaona kama Irambian ni wajibu wangu kuijibu. The way nilivyo-frem Title ni kuonesha kwamba kauli ya kupinga tuhuma imetolewa na Mwigulu!
 
Huyu yangu ni yeye Mh.

Huyu jamaa nilikuwa nadhani ni mtu smart lakini kila siku zinavyoenda nazidi kuona ni mtu wa aina gani, first class economist...lols

Amezoea kuwadanganya "Irambians" wake basi anadhani kila Mtanzania anadanganyika.
 
Watu wengine bwana,sijui wanadhani JF kuna wajinga kiasi cha kujiunga leo leo na kujiwekea mazingira mazuri kumbe ni MAGAMBA waliokubuhu.
Tafuta style nyingine hii imeshindwa,Iramba hesabuni siku tu na muombe Mungu awaepushe na Mwigulu.
 
Huyu yangu ni yeye Mh.

Huyu jamaa nilikuwa nadhani ni mtu smart lakini kila siku zinavyoenda nazidi kuona ni mtu wa aina gani, first class economist...lols
Kweli wewe ndo manunda! hivi ukiona Picha ya kikwete kwenye gazeti hala pakawa na maandishi kwamba"SIHUSIKI NA KASHFA YA RICHMOND" ina Maana ndo yeye ameandika hiyo makala? Ama amehojiwa akatoa sababu zinazoonesha kuwa hahusiki na kashfa hiyo? Think big mkuu!
 
Sasa Mkuu wewe huelewi kitu gani? Si nimeweka bayana kwamba nimewasiliana naye? Uzuri na mimi pia nilikuwepo kwenye mikutano hapa jimboni! Hivyo nilioona kila mara hio thread ya Patriq inapandishwa hapa jamvini kila mara nikaona kama mwana Irambian ni wajibu wangu kuijibu. The way nilivyo-frem Title ni kuonesha kwamba kauli ya kupinga tuhuma imetolewa na Mwigulu!

Nimeshakuambia wewe "mwana Irambian" acha kutuzuga hapa. Huwezi "kujibu tuhuma za uongo, zilizotolewa na Patriq kuhusu Mh. Mwigulu Nchemba" kama wewe sio Mwigulu Nchemba. Kwa nini yeye asijibu mpaka umjibie? Una "wajibu" gani wa kumjibia tuhuma? Yale yale ya Mwigulu Nchemba kujibu tuhuma za BOT, which just shows who you are.
 
Kweli wewe ndo manunda! hivi ukiona Picha ya kikwete kwenye gazeti hala pakawa na maandishi kwamba"SIHUSIKI NA KASHFA YA RICHMOND" ina Maana ndo yeye ameandika hiyo makala? Ama amehojiwa akatoa sababu zinazoonesha kuwa hahusiki na kashfa hiyo? Think big mkuu!

Aibu, Unajichoresha Mh.
 
Nimeshakuambia wewe "mwana Irambian" acha kutuzuga hapa. Huwezi "kujibu tuhuma za uongo, zilizotolewa na Patriq kuhusu Mh. Mwigulu Nchemba" kama wewe sio Mwigulu Nchemba. Kwa nini yeye asijibu mpaka umjibie? Una "wajibu" gani wa kumjibia tuhuma? Yale yale ya Mwigulu Nchemba kujibu tuhuma za BOT, which just shows who you are.

Sasa naanza kuona mwanga! Lazima wewe utakua ndio Patriq. Sasa 'wa pot' nadhani utakua umepata picha yetu kwaba hiki ndo kipindi cha maendeleo ni sio kipindi cha kampeni. Subiri 2015 uje kama una sera nzuri tutakupa kura lakini kitendo unachofanya cha kutuvuruga sisi Irambians sio sawa hata kidogo. Mimi nlikuwa na Mh. kwenye ziara, nenda kaulize vijana pale sokoni kama kweli hizo tuhuma ulizotoa zinamashiko then uje tena hapa jamvini
 
Sawa "first class economist".
 
Great thinkers heshima kwenu! Sikuhizi baadhi ya watu wamekua na kasumba ya kutuhumu wengine kwa lengo la kuwapaka matope mbele ya jamii huku wakujua dhahiri kwamba tuhuma hizo nizakuzusha tu. Mimi ni mwana-Iramba na imenilazimu kujibu tuhuma za uongo, zilizotolewa na Patriq kuhusu Mh. Mwigulu Nchemba.

Mimi namashaka sana kama Patriq yuko hapa Iramba, otherwise asingekuja na siasa hizi za majitaka. Personally, nimewasiliana na Mh. Mwigulu na ameonesha kushangazwa sana madai haya. Pamoja na kwamba ilimlazimu Nchemba kujibu madai haya hapa jamvini, lkn bado nimeona nisiliache hili jambo lipite hivi hivi. Mbunge alikuwepo jimboni mwezi April na kama kweli Patriq alikuwepo basi angekua anafahamu hili kwani tuhuma hizi alizitoa tarehe 30 April siku chache baada ya ziara ya mbunge.

Mbunge alifanya ziara katika maeneo yafuatayo:- Tarehe 23/04 alikuja Ng’anguli na Maluga Tarehe 24/04 alikuwa kitusha na Uwanza Tarehe 25/04 alikuwa Galangala na KBI ambapo alizunguka sokoni akiongea na vijana pamoja na watu wa rika mbalimbali kuhusu njia bora ambayo wangependa kuwezeshwa katika ujasiriamali wao.

Mbunge pamoja na kwamba Chama kimempa majukumu ya kutunza fedha za chama ambayo kwake ni mepesi kutokana na taaluma yake ya uchumi na uzowefu wake pale BOT bado ameendelea kuwa pamoja na wanachi wake na imani yake kwa wana-Iramba bado iko juu.

Sisi wana Iramba kama kweli tunataka maendeleo kwa ajili yetu na vizazi vijavyo basi tuna kila sababu ya kushirikana kwa umoja wetu kuleta maendeleo yetu. Ni wazi tunaweza tukawa na different political Ideologies lakini tusiziruhusu zikatugawa bali tuzitumie kama chachu ya kuongeza kasi ya maendeleo jimboni kwetu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI IRAMBA MAGHARIBI

Mkereketwa wa Maendelo ya Iramba

First class economist
 
Back
Top Bottom