Mwigulu Nchemba: Tuhuma dhidi yangu hazina ukweli wowote

Yangtze

Member
May 26, 2012
30
4
Great thinkers heshima kwenu! Sikuhizi baadhi ya watu wamekua na kasumba ya kutuhumu wengine kwa lengo la kuwapaka matope mbele ya jamii huku wakujua dhahiri kwamba tuhuma hizo nizakuzusha tu. Mimi ni mwana-Iramba na imenilazimu kujibu tuhuma za uongo, zilizotolewa na Patriq kuhusu Mh. Mwigulu Nchemba.

Mimi namashaka sana kama Patriq yuko hapa Iramba, otherwise asingekuja na siasa hizi za majitaka. Personally, nimewasiliana na Mh. Mwigulu na ameonesha kushangazwa sana madai haya. Pamoja na kwamba ilimlazimu Nchemba kujibu madai haya hapa jamvini,(Gonga hapa na usome post #20 https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-jimboni-spesho-kwa-wanairamba-magharibi.html) lkn bado nimeona nisiliache hili jambo lipite hivi hivi. Mbunge alikuwepo jimboni mwezi April na kama kweli Patriq alikuwepo basi angekua anafahamu hili kwani tuhuma hizi alizitoa tarehe 30 April siku chache baada ya ziara ya mbunge.

Mbunge alifanya ziara katika maeneo yafuatayo:- Tarehe 23/04 alikuja Ng’anguli na Maluga Tarehe 24/04 alikuwa kitusha na Uwanza Tarehe 25/04 alikuwa Galangala na KBI ambapo alizunguka sokoni akiongea na vijana pamoja na watu wa rika mbalimbali kuhusu njia bora ambayo wangependa kuwezeshwa katika ujasiriamali wao.

Mbunge pamoja na kwamba Chama kimempa majukumu ya kutunza fedha za chama ambayo kwake ni mepesi kutokana na taaluma yake ya uchumi na uzowefu wake pale BOT bado ameendelea kuwa pamoja na wanachi wake na imani yake kwa wana-Iramba bado iko juu.

Sisi wana Iramba kama kweli tunataka maendeleo kwa ajili yetu na vizazi vijavyo basi tuna kila sababu ya kushirikana kwa umoja wetu kuleta maendeleo yetu. Ni wazi tunaweza tukawa na different political Ideologies lakini tusiziruhusu zikatugawa bali tuzitumie kama chachu ya kuongeza kasi ya maendeleo jimboni kwetu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI IRAMBA MAGHARIBI

Mkereketwa wa Maendelo ya Iramba
 
Mkuu Yangtze, kwanza nianze kwa kukusifu kwa hatua hii. Ni kweli kabisa ukiangalia madai ya Yule bwana yana ajenda ya siri nyuma yake. Aidha anataka kujiwekea mazingira ya kugombea ama anamrayarishia mtu mwingine. Ila isiwe kwa kutafuta sababu za kuzusha kama alivyofanya. Pamoja na kwamba mimi sii pro CCM ila kwa Nchemba wana Iramba wamepata Jembe. Namshauri ndugu Nchemba atafakari upya uwepo wake CCM na kuhamia CDM kwasababu matatizo ya CCM ni mengi kwa sasa.
 
Aisee siku hizi Watanzania tumekuwa na tabia ya ajabu sana. Hata kama mtu akifufua mtu mwingine tutaponda tu ikiwa mtu huyo anatoka CCM. Mwigulu simjui lakini to be sincere, anafanya kazi ipasavyo. He is the likes of Zitto, Mnyika, Tundu Lissu etc
 
Ujinga mwingine bana!

Hovyo kabisa!

Hovyo kwako lakini kwetu siye wana Iramba inamaana kubwa sana. Maendele yetu yataletwa na sisi wenyewe wana Iramba. We will not seat back and wait for aliens like patiq to disrupt the foundations of development plans that are now being put in place by our MP.
 
I am not in your Boat Kiranga! The guy has a point!

Which boat? Which guy? Which point?

I don't see even a plane, let alone a point.

Hii ni JF, sio kilabu cha bongolala kinachoruhusu watu kupigiana propaganda bila hata kushughulisha ubongo.
 
Great thinkers heshima kwenu! Sikuhizi baadhi ya watu wamekua na kasumba ya kutuhumu wengine kwa lengo la kuwapaka matope mbele ya jamii huku wakujua dhahiri kwamba tuhuma hizo nizakuzusha tu. Mimi ni mwana-Iramba na imenilazimu kujibu tuhuma za uongo, zilizotolewa na Patriq kuhusu Mh. Mwigulu Nchemba.

Mimi namashaka sana kama Patriq yuko hapa Iramba, otherwise asingekuja na siasa hizi za majitaka. Personally, nimewasiliana na Mh. Mwigulu na ameonesha kushangazwa sana madai haya. Pamoja na kwamba ilimlazimu Nchemba kujibu madai haya hapa jamvini, lkn bado nimeona nisiliache hili jambo lipite hivi hivi. Mbunge alikuwepo jimboni mwezi April na kama kweli Patriq alikuwepo basi angekua anafahamu hili kwani tuhuma hizi alizitoa tarehe 30 April siku chache baada ya ziara ya mbunge.

Mbunge alifanya ziara katika maeneo yafuatayo:- Tarehe 23/04 alikuja Ng'anguli na Maluga Tarehe 24/04 alikuwa kitusha na Uwanza Tarehe 25/04 alikuwa Galangala na KBI ambapo alizunguka sokoni akiongea na vijana pamoja na watu wa rika mbalimbali kuhusu njia bora ambayo wangependa kuwezeshwa katika ujasiriamali wao.

Mbunge pamoja na kwamba Chama kimempa majukumu ya kutunza fedha za chama ambayo kwake ni mepesi kutokana na taaluma yake ya uchumi na uzowefu wake pale BOT bado ameendelea kuwa pamoja na wanachi wake na imani yake kwa wana-Iramba bado iko juu.

Sisi wana Iramba kama kweli tunataka maendeleo kwa ajili yetu na vizazi vijavyo basi tuna kila sababu ya kushirikana kwa umoja wetu kuleta maendeleo yetu. Ni wazi tunaweza tukawa na different political Ideologies lakini tusiziruhusu zikatugawa bali tuzitumie kama chachu ya kuongeza kasi ya maendeleo jimboni kwetu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI IRAMBA MAGHARIBI

Mkereketwa wa Maendelo ya Iramba

Kusisitiza umoja wa wanairamba ni jambo la muhimu, linalonishangaza wewe Mwigulu Lameck Madilu Nchemba kwanini umekwepa kutumia jina lako badala yake umetumia hili la YANGTZE. Hii ni dalili ya kutojiamini na ni old fashioned strategies za propaganda ambazo walisoma akina Lyatonga enzi hizo. Kutokana na dhana ya modus operandi nina uhakika 100% hii kitun umeandika wewe mwenyewe Mwigulu because i know you and your art of writing. Ukiwa kiongozi you have to be bold na kukabili changamoto kwa ujasiri usitafute huruma. Shauri yako 2015 si mbali usijekujuta kuacha kazi BOT
 
Yangtze
Join Date : 26th May 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received: 1
Likes Given: 2

Check hiyo Deep Green, naona jamaa ameamua kuja kivingine, hahaha...ndiyo viongozi wetu hawa..haha..Naona watu mmeshashtuka zamani, safi sana.
 
This is an insult for Irambians!

An insult for Irambians? Kwa nini usiandike Kiswahili tu ? Halafu mbona kuchapia chapia kwako kiingereza kunafanana sana na kule kuchapia kwa Mwigulu Nchemba? Unajipigia debe mwenyewe kwa pseudoname hapa?

Trust me, you do not want this Kiranga guy to get on your case.
 
Kusisitiza umoja wa wanairamba ni jambo la muhimu, linalonishangaza wewe Mwigulu Lameck Madilu Nchemba kwanini umekwepa kutumia jina lako badala yake umetumia hili la YANGTZE. Hii ni dalili ya kutojiamini na ni old fashioned strategies za propaganda ambazo walisoma akina Lyatonga enzi hizo. Kutokana na dhana ya modus operandi nina uhakika 100% hii kitun umeandika wewe mwenyewe Mwigulu because i know you and your art of writing. Ukiwa kiongozi you have to be bold na kukabili changamoto kwa ujasiri usitafute huruma. Shauri yako 2015 si mbali usijekujuta kuacha kazi BOT

Du kweli nimeamini sio wote walio gerezani wanamakosa. Yaani unasema una hakika asilimia 100 mi ndo Nchemba. Basi hio ni heri. Mimi ni mwana Iramba. Nchemba mwenyewe sio kwamba hajajitokeza. Soma post No 20 hapa:https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-jimboni-spesho-kwa-wanairamba-magharibi.html
 
YANI ni bora kukaa kimya kuliko kuleta hoja viroja ukidhani ndio namna ya kusaidia jimbo lako

Kila siku zinavyoenda ndio nagundua Mwigulu hana tofauti kabisa na Lusinde
 
pIFfwBjzv+oflYw4CAqges4AAAAASUVORK5CYII=
Yangtze

Today 13:53

Join Date : 26th May 2012Posts : 1

Check hiyo Deep Green, naona jamaa ameamua kuja kivingine, hahaha...ndiyo viongozi wetu hawa..haha..Naona watu mmeshashtuka zamani, safi sana.

uhakika 100% hii kitun umeandika wewe mwenyewe Mwigulu because i know you and your art of writing.

Soma post No 20 hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-jimboni-spesho-kwa-wanairamba-magharibi.html
 
Back
Top Bottom