Mwigulu Nchemba na Tuhuma za Ugaidi wa CHADEMA

Hawa watakuwa wamevukishiwa kupitia Arusha au moshi, itakuwa Lema ndio muhusika mkuu kwasababu anazijua vizuri njia za panya alizo kuwa akizitumia kwenye biashara ya wizi wa magari.

WanaCDM wamesha igeuza hii stori kuwa ni uzembe wa jeshi wakisahau tuhuma hiyo inawahusu wao kuleta majambazi nchini.
Usalama wa taifa wanafanya kazi gani jamani? wewe unahabari zote hizo halafu unabaki kulalama hapa jamvini, umelisaidiaje taifa kuzuia uhalifu huu?Acha kuleta michango yako ya kichochezi hapa.
 
CCM wako tayari kupoteza huai wa mtu ili uwemtaji wao!CCM ni chama pekee kilicho na jeshi lake blueguard sijui kama sheria za nchi zinaruhusu ama vipi!

Mkuu naungana nawe ktk ihi point.sisiem wameshalaaniwa kama nyoka alivyoambiwa atakula mavumbi na atatambaa kwa tumbo ndo maana wamekuja na kauli ya kujivua gamba!
 
ccm wako tayari kupoteza huai wa mtu ili uwemtaji wao!rejea uchaguzi mkuu walivyomuonga aliyekuwa mme wa josephine amshitaki slaa kuwa kampokonya mke wakati walikuwa wameachana kabla na wananchi walipolipuuza hilo wakaunda njama kumuua yule jamaa ionekane slaa kaua mtu aliyemshitaki!jamaa kaandaliwa gari kubwa likamgonga akiwa ktk gari lake dogo mungu mkubwa kapona ila gari halikutamanika!watashindwa kummwagia mtu tindikali aliyekuwa anawabandikia mabango ili waseme chadema?ccm ni chama pekee kilicho na jeshi lake blueguard sijui kama sheria za nchi zinaruhusu ama vipi!

hao ndo ccm, hafu sikufuatilia kesi yao. Ilisha vp? Nijuze kama una taarifa.
 
<br />
<br />
mkuu naungana nawe ktk ihi point.sisiem wameshalaaniwa kama nyoka alivyoambiwa atakula mavumbi na atatambaa kwa tumbo ndo maana wamekuja na kauli ya kujivua gamba!

kwa ugumu wa maisha tulionao wtz, vijana wengi wanajikuta wanawatumikia hawa wezi wa taifa. Mie naamini wanaumia lakini wafanyeje wakati ugumu wa maisha umelalia upande wao?

Kweli false consciouseness imetawala mioyo na miili ya wengi tanzania. Hata wewe mwana jf....
 
Hivi ndani ya hiki chama watu huwa wanafanyiwa aina fulani ya operesheni kuongea vitu vya ajabuajabu nini? Kiongozi mkubwa kama Mwichemba kutoa tuhuma kama hizo afu si Polisi wala Jeshi linaloshughulikia kitu kama hicho ni hatari na kashfa kubwa kwao..
 
Kwa maelezo ya matukio haya ndiyo huwa nawashangaa wasomi wa CCM. Hivi wanadhani hizi ni enzi za uongo wao wa kijinga? Kweli Mchemba anatamka wale jamaa 800 kuingia Nchini na Igunga specifically na hawajulikani yeye anawajua?

Mbona ana dhalilisha vyombo vya usalama wa Nchi hii ? Kweli na CCM wanamwachia ana bwawaja namna hii anadhani anawasaidia katika kampeni ? Mh haya mie yangu macho wacha nisikie na kuona hao 800 wamekamatwa na wasema wao wamelipwa na Chadema .
 
usalama wa taifa wanafanya kazi gani jamani? Wewe unahabari zote hizo halafu unabaki kulalama hapa jamvini, umelisaidiaje taifa kuzuia uhalifu huu?acha kuleta michango yako ya kichochezi hapa.

ni sahihi kabisa kwamba ulinzi wa taifa ni jukumu la kila mmoja, kila mmoja anawajibika kwa sehemu yake kuhakikisha amani inatawala. Hii ndo dhana halisi ya polisi jamii na ulinzi shirikishi.

Hata hivyo, lazima kulalama, kwani kuna mamlaka ambao kazi zao ni kulinda taifa moja kwa moja na wananchi tunatoa ushirikiano hasa katika kutoa taarifa.

Kinachoshangaza ni kwamba, usalama wa taifa wanakaa mijini, mipakani hawapo hivyo inakuwa ngumu kudhibiti wahamiaji haramu. Kwa hili idara zote za usalama lazima lawama muzikubali kwani ukiwachukua polisi, immigaration na tra wanaopatikana mipakani, wakiwa mipakani lao ni kutengeneza pesa kwa kuwapitisha wahamiaji haramu na uharamu wao.

Mifano ipo wazi, kuna kipindi gari la rostamu azizi liltoka kenya likiwa limebeba mitambo mizito sana kutoka kenya kwenda migodini geita. Road nzima walipita ispokuwa mwanza ambapo polisi na tanroads ya mwanza waliwagomea na kuwalazimisha kupima shehena hiyo kwani ilikuwa nzito na inaharibu road zetu.

Jamaa kupima walilazimika kulipa faini milion zaidi ya 300, wakaruhusiwa kupeleka mitambo yao geita. Sasa uhamiaji wa sirari na polisi wa eneo hilo mpaka musoma-bunda, magu walikuwa wapi?

Kwao pesa tu huku taifa linatafunwa na wajinga wachache.
 
Mwigulu anatumika tu! Ila historia itamuhukumu kwa kauli zake za kitoto ambazo hana ushahidi nazo. Pia kauli yake imejaa ubaguzi kama ilivyo jadi ya CCM kuwabagua wenzao.
 
Gaidi mkubwa na tishio anayeripotiwa na ccm ni yule anayewapinga katika ufisadi wao na ikatokea huongelei hiyo basi kwao (Mgamba) wewe ni mstaarabu na muungwana.
 
Ninamashaka na uwezo wa kufikili wa mwigulu, kuzungumza maneno kama hayo ikiwa nchi hii inaongozwa kwa misingi ya sheria, na jeshi na usalama? Au ndio yaleyale aliyoyasema msingwa kuwa sio usalama wa taifa, bali ni usalama wa ccm, kwani huyu mchamba miguu alipaswa akamatwe na kuhojiwa na hata kuonyesha hao vijana.
 
hawa si ni wale waliowataka watz wa huko igunga wawachague kama wao waalivyochaguliwa
na mamsap zao!!!!!!!!!!!!
inawezekana mamsap huyo huyo ndo kamwambia kuna mungiki/intarahanwe
 
unajuwa kama ungekuwa na akil timam uwez kukurupuka kuchangia ktk thread.jiulize tangu lini mgen akawa na nguvu kuliko mwenyej kama ao vijana ni wagen wakamatwe na waojiwe! Na hiyo kambi ya cdm iko wapi wanapopatiwa mafunzo hao vijana,ila magamba wao tangu long time wana vijana.intelejensia wanafanya kaz gani.mbinu za magamba ni zakigaidi sana
Marekani na Nato ni wenyeji Libya au Iraq? na Tanzania wakati inaivamia Uganda kumng'oa Iddi Amini walikuwa wenyeji? Acha mifano ya kitoto
 
Mwigulu,Tatizo la wanasiasa wetu ni kwamba kijana kama Mwigulu anadhani atakuwa CCM maisha yake yote. Anasahau kwamba CCM itaumia uchaguzi wa ndani 2012 na 20013 na tutaizika 2015 ktk uchaguzi mkuu, halafu yeye bado kijana. Ningekuwa Mwigulu, nisingekubali kusema kila ninachoambiwa nikiseme kwa maslahi ya Muda mfupi ya CCM kwa kuwatia hofu watanzania bila sababu. Hizi ndizo zinazoitwa siasa uchwara na za maji taka haswa.Lakini Mwigule ninaye mfahamu pale Udsm akiwa na msimamo mzuri, nimesikitishwa sana na mambo anayoyafanya siku hizi. I seriously doubt his credibility now. Sijui ccm inawafanyia vijana hawa.
 
Mwigulu,Tatizo la wanasiasa wetu ni kwamba kijana kama Mwigulu anadhani atakuwa CCM maisha yake yote. Anasahau kwamba CCM itaumia uchaguzi wa ndani 2012 na 20013 na tutaizika 2015 ktk uchaguzi mkuu, halafu yeye bado kijana. Ningekuwa Mwigulu, nisingekubali kusema kila ninachoambiwa nikiseme kwa maslahi ya Muda mfupi ya CCM kwa kuwatia hofu watanzania bila sababu. Hizi ndizo zinazoitwa siasa uchwara na za maji taka haswa.Lakini Mwigule ninaye mfahamu pale Udsm akiwa na msimamo mzuri, nimesikitishwa sana na mambo anayoyafanya siku hizi. I seriously doubt his credibility now. Sijui ccm inawafanyia vijana hawa.

Mtu yeyote makini hawezi kushabikia siasa za magamba kwa sasa, na kwa hali tuliyonayo.

Unapomuona kijana ambaye anasemekana alikuwa mahiri na makini amejitumbukiza kwenye siasa za magmaba na anaingia kichwa kichwa na kuanza kuhubiri siasa za chuki kwa maelekezo ya wazee wa chama, basi bila shaka kuna moja ama yote kati ya haya mawili; aidha yuko kimaslahi binafsi zaidi ama la si mahiri na makini kama mlivyokuwa mnamdhania hapo awali.
 
Haya maneno yanaweza kuwa na ukweli tusiyapuuze!!

Duh!wewe kweli CCM imekuingia damuni,kila kitu kinachosemwa na CCM au mwanaCCM kwako ni sahii,angalia wasije kukulemaza na kupunguza uwezo wako halisi wa kufikiri,mimi naamini wewe unafikiri kwa kutumia kichwa siamini pande ile ya masaburi!!
 
haya ni maneno yangu!!!!
ukipanga list ya watoa rushwa tanzania, mwigulu madelu nchemba anashika namba moja kama si mbili lakini si chini ya tatu, anahusudu rushwa mpaka nafasi ya darasa la saba aliikariri kwa kumhonga mwenye jina la MWIGULU akachakachua la madelu la ukoo akachemka (NCHEMBA)
anakubali kufanya uovu huo kwa maelekezo ya ccm akiwa na tahadhari kuwa akikataa atachunwa ngozi, hata vuliwa gamba na ccm.
hasara ya wanairamba magharibi inaambukizwa taifa la tanzania.
msijesema sikuwaambia.
 
Back
Top Bottom