Mwigulu Nchemba na kitambaa cha bendera ya Taifa.

Angevaa mpinzani kusingekuwa na hayo maswali ila angeonekana ni mzalendo..
 
kuna mengi unaweza kuwa alikula kiapo cha utii kwa mgaga wa kienyeji kuweka shingoni kitambaa hicho. si mnajua ccm kila kitu chawezekana
 
Naomba kuwauliza wadau wa Jf, kwa anayemfahamu vizuri mbunge wa Iramba Magharibi na mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM na aliyekuwa Meneja wa kampeni za mgombea ubunge jimbo la Arumerumeru mashariki (Ndg Sioi Sumari) kupitia CCM Mh: Mwigulu Nchemba,.

Kuanzia nimemfahamu mbunge huyu kila nimuonapo huwa anapenda kujifunga kitambaa chenye nembo ya taifa shingoni mwake, huwa hakitoi kile kitambaa chenye nembo ya taifa shingoni mwake,'.

Swali ni je' huo ni uzalendo na nchi yake?? au anapenda tu kutoka kihivyo?? au ndivyo alivyoagizwa afanye na wataalamu wake ili asiterereke kisiasa?? au kuna kitu anaficha kwenye shingo yake???


Naomba majibu kwenu maana nimetafakari nikakosa jibu sahihi.
Hapo kwenye red Mkuu nauliza ni nembo yaifa au rangi ya bendera ya taifa ufafanuzi mkuu!!
 
Mimi nadhani ni kamati ya ufundi, na kuna kipindi alikuwa member active sana hapa JF hasa kwenye uchaguzi wa Arumeru, baada ya uchaguzi akazamia mitini.
 
Mimi nimeuliza kama wewe umeona ni uzalendo sema tu hamna swala la upinzani hapo wala nini hayo umesema wewe.

Ok, hamna atakayekuwa na jibu sahihi zaidi ya yeye mwenyewe, ingekuwa vizuri umtafute umuulize.
 
Usikandie mawazo ya mwenzako hayo ni yake nawewe sema yako ya kisasa. Majungu hayatakusaidia.
Simple minded people discuss people tena kwenye personal issues..
Sitakushangaa next time ukija kuuliza kwanini Sugu ananyoa kipara, kwanini Majimarefu anapenda kula pilau, kwanini Anna makinda anvaa wigi jeusi, kwanini....................

Wenzako walishauliza maswali kama hayo na majibu nimekuwekea clip ya youtube
 
Simple minded people discuss people tena kwenye personal issues..
Sitakushangaa next time ukija kuuliza kwanini Sugu ananyoa kipara, kwanini Majimarefu anapenda kula pilau, kwanini Anna makinda anvaa wigi jeusi, kwanini....................

Wenzako walishauliza maswali kama hayo na majibu nimekuwekea clip ya youtube

Kweli dunia ina mambo.
 
Back
Top Bottom