unatumika ubongo au kinyesi?gamba mkubwa!sasa zomba hii photo ya mbowe yanini?? Kweli una matatizo bwana zombi
unatumika ubongo au kinyesi?gamba mkubwa!
Nchi yenye sheria legelege utaijua tu!
Ukipita Kariakoo, mitaani, maduka ya watalii, utaona vifaa kadhaa vyenye bendera ya taifa vinauzwa: T-Shirts, track suits, vitambaa vya shingoni, kofia, kanga...tunajua vinaishia wapi vitu hivi? Kuna "utakatifu wowote katika bendera ya nchi? Kama ni hivyo, kwa nini mataifa mengi wanavaa bendera zao vichwani na kuna tafauti gani na bendera ya Tanzania?
Masikini mimi sijui hata hizo kanuni zinazoilinda bendera ya taifa letu, ninaona tu katika nchi nyengine wanaikashifu bendera ya nchi fulani kwa kuichoma moto.
Hapo juu kwenye red, mimi nisiyekuwa Nchemba, nikivaa kitambaa cha bendera ya taifa nitaadhibiwa kisheria? Na hapa hoja ya msingi ni nini, tunajadili maadili na matumizi ya bendera ya taifa au tunamjadili Nchemba tu?
Asante sana Mkuu kwa kunihabarisha. Nimeangalia zaidi kuhusu sheria zetu na matumizi ya nembo na bendera ya taifa, ambapo katika "National Emblems Act Cap. 10. R.E 2002" inasema ni makosa kutumia alama hizo kwa shughuli za biashara na mengineyo ambapo Waziri wa Mambo ya Ndani hakuidhinisha ruhusa ya matumizi hayo.MAMMAMIA, Kila nchi ina sheria zake kuhusu matumizi ya neno/alama za taifa. Tanzania wanazo sheria zake kuhusu namna ya kutumia bendera etc. Kwa sasa hivi sijui ni shule za kata lakini matumizi ya nembo ya/alama za taifa ni hovyo kabisa. Nimeona watu toka taasisi na mashirika ya umma wamevaa t-shirt/kofia zenye 'national amblem!!!
MAMMAMIA, Kila nchi ina sheria zake kuhusu matumizi ya neno/alama za taifa. Tanzania wanazo sheria zake kuhusu namna ya kutumia bendera etc. Kwa sasa hivi sijui ni shule za kata lakini matumizi ya nembo ya/alama za taifa ni hovyo kabisa. Nimeona watu toka taasisi na mashirika ya umma wamevaa t-shirt/kofia zenye 'national amblem!!!
Naomba kuwauliza wadau wa Jf, kwa anayemfahamu vizuri mbunge wa Iramba Magharibi na mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM na aliyekuwa Meneja wa kampeni za mgombea ubunge jimbo la Arumerumeru mashariki (Ndg Sioi Sumari) kupitia CCM Mh: Mwigulu Nchemba,.
Kuanzia nimemfahamu mbunge huyu kila nimuonapo huwa anapenda kujifunga kitambaa chenye nembo ya taifa shingoni mwake, huwa hakitoi kile kitambaa chenye nembo ya taifa shingoni mwake,'.
Swali ni je' huo ni uzalendo na nchi yake?? au anapenda tu kutoka kihivyo?? au ndivyo alivyoagizwa afanye na wataalamu wake ili asiterereke kisiasa?? au kuna kitu anaficha kwenye shingo yake???
Naomba majibu kwenu maana nimetafakari nikakosa jibu sahihi.
Nchi hii sijui, najiuliza kama afanyavyo Mwigulu je angekuwa anafanya hivyo Mbunge wa upinzani ingekuwaje?
Hii ndio aina ya siasa tuliolishwa, kudhani upinzani ni kupinga na kuchukia kila kitu cha mpinzani wako
Badala ya kuhoji sera tunaanza kuhoji skafu mara sjui gwanda nk
Hii ndio aina ya siasa tuliolishwa, kudhani upinzani ni kupinga na kuchukia kila kitu cha mpinzani wako
Badala ya kuhoji sera tunaanza kuhoji skafu mara sjui gwanda nk
Mkuu unataka sababu gani nyingine zaidi ya hii alioieleza mwenyewe?Jamani kuuliza si ujinga wala ugomvi'
Mkuu unamawazo ya kizamani sana brodaTunaongelea nembo/alama za bendera ya nchi. Ni wapi uliona nchi inatumia alama za bendera kutengeza zulia? Kuna vitu ukifanya 'pyschologically' vinaweza kukuandaa kufanya mengi zaidi. Kuna mambo kama taifa lazima tuyape hesham yake, na ndio sababu kumekuwepo na sheria.