Mwigulu Nchemba na BOT hatimaye na EPA

Acheni kutapatapa,sie tunasubiri ushahidi tu,hizi topic zingine ni rubbish tu.
 
kapewa mahela kibao toka BOT na ndulu kwenda kupendezesha jimbo lake bila uhalali na prof beno gavana
mpaka proposal yake ninayo ukiitaka mnyika nitakupa ni inbox tu kwan kachota pesa nyingi sana bila uhalali na pia kafungua kiwanda kikubwa uchapaji nyalaka na magazeti pale mwenge kachota mapesa yote BOT

NA MENGI SANA JUU YA HUYU, hila kaniboaaaa sana na hoja zake za sasa hivi ni fisadi kweli mnyika ukiitaji nyongeza nitakupatia

Vp utamsaidia ndumu ya congo maana ile kitu ni noumer anaweza funga bunge kwa makelele
 
Kuna Kilaaza wa magamba aliyeanzisha thread ya kumponda Mnyika ,kama sikosei ni juzi.Nilimuuliza maswali haya uliyomuuliza Mwigulu , ila hakunijibu
 
Back
Top Bottom