Mwigulu Nchemba mbona yupo kimya bungeni siku hizi?

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Wakuu toka juzi mheshimiwa John Mnyika amlipue mbunge wa Iramba Mashariki Mwigulu Nchemba kuwa ni mtuhumiwa wa wizi wa pesa za EPA,mbunge huyo amekuwa kimya na ameacha kuropoka ropoka ovyo maneno machafu.Ama kweli mbio za sakafuni huishia ukingoni ile miongozo aliyokuwa akiomba Mwigulu Nchemba kila walipokuwa wakichangia wabunge wa CHADEMA imeishia wapi?
 
yupo kwenye vikao vya chama
nashanga sasa hivi wanachapa katiba mpya za chama zao nyingi kweli nani anazitaka kweli sasa hivi.....
 
Ametishiwa na watu wa jimboni kwakw hapa Singida kuwa asipokuwa makini na akiendelea na makelele watammwaga next term.
 
kwa zile nondo alizokata Lissu kuhusu katiba na muungano Mwigulu ana pa kushika? amzoea kuchangia vitu rahisi rahisi tu sasa wanaume wanakata nondo amabazo hawezi ambua chochote!!
 
Kukolimbwa nani anataka? anaogopa wasijemlimboka. Kaokoka kwa mahubiri ya Mnyika alidhani hana dhambi kumbe zimeanikwa.
 
Ametishiwa na watu wa jimboni kwakw hapa Singida kuwa asipokuwa makini na akiendelea na makelele watammwaga next term.
Actually watu wa sampuli ya mwigulu hawapaswi kupewa kiti bungeni.
 
mwigulu ni hopeless, hajui kujenga hoja hata kidogo,nimemsikiliza star tv sasa kweli huwezi amini amejaa kashfa kuliko hoja
 
Wakuu toka juzi mheshimiwa John Mnyika amlipue mbunge wa Iramba Mashariki Mwigulu Nchemba kuwa ni mtuhumiwa wa wizi wa pesa za EPA,mbunge huyo amekuwa kimya na ameacha kuropoka ropoka ovyo maneno machafu.Ama kweli mbio za sakafuni huishia ukingoni ile miongozo aliyokuwa akiomba Mwigulu Nchemba kila walipokuwa wakichangia wabunge wa CHADEMA imeishia wapi?

Yupo ziarani mikoani anasaidia M4C
 
yeye huwa hachangii bajeti ya serikali ya chama chake, anasubiri maoni ya kambi ya upinzani ili aanze kumwaga ***** wake.
 
Ameombewa na Mch. Msigwa mapepo yamemtoka japo Mchungaji ana kazi ya ziada kuendeleza maombi ili mapepo yasimrudie
 
Wakuu toka juzi mheshimiwa John Mnyika amlipue mbunge wa Iramba Mashariki Mwigulu Nchemba kuwa ni mtuhumiwa wa wizi wa pesa za EPA,mbunge huyo amekuwa kimya na ameacha kuropoka ropoka ovyo maneno machafu.Ama kweli mbio za sakafuni huishia ukingoni ile miongozo aliyokuwa akiomba Mwigulu Nchemba kila walipokuwa wakichangia wabunge wa CHADEMA imeishia wapi?

Nguvu za soda..........ukimuacha wazi kwisha
 
kwa zile nondo alizokata Lissu kuhusu katiba na muungano Mwigulu ana pa kushika? amzoea kuchangia vitu rahisi rahisi tu sasa wanaume wanakata nondo amabazo hawezi ambua chochote!!

Kwani first class degree ya uchumi haikumpa upeo wa kuchangia katika mambo yasiyokuwa ya kiuchumi?! duh!
 
Nakumbuka alivyokamatwa na makamanda wa chadema april mosi saa 6 mchana mitaa ya Usa river Alijikojolea alooo..mbowe akamnusuru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom