Mwigulu Nchemba, kwanini unakataza wananchi wasiende kusikiliza mkutano wa CHADEMA?

Inaelekea wewe hukuelewa hoja ya Mwigulu! nazani alichosema Mwigulu ni sahii na kiongozi yeyote hata wa upinzani anastahili kukisema! Kimsingi, alichosema Mwigulu ni kwamba, ikiwa wanachama na wapenzi wa CCM hawawezi kuvumiliaa madongo yanayorushwa na CHADEMA basi ni kheri wasihudhurie mikutano ya CHADEMA kuliko kuhudhuria mikutano hiyo na pale wanaposhindwa kustahimili kuamua kutaka kuanzisha vurugu! Sasa tatizo hapo lipo wapi?! Ni kwamba, kama wanahudhuria mikutano hiyo, basi wawe tayari kuvumilivu chochote kitachosemwa na CHADEMA na kama uvumilivu huo hawana basi wasiende!! Hii ni kauli inayopaswa kutamkwa na kiongozi yeyote asiye mshabiki wa vurugu! Hii ni sawa na Mwislamu kwenda kwenye mahubiri ya Kikristo...lazima uvumilie kusikia kwamba Yesu ni Mungu; huwezi basi usiende! Is like Mkristo anayeenda kwenye mahubiri ya Kiislamu, lazima avumilie kusikia Yesu si Mungu; hawezi basi asiende!! For this, nampa Mwigulu 100% appreciation!

wewe nawe ni magamba?mbona hustahili kuwa huko!
 
Nazdaz nakushukuru kwa kuelewa. Nikwamba mtu anakwenda mkutano sio wa chama chake, pia bila kulazimishwa lakini anataka ageuze mkutano kuwa wakwake. Mtadharau lakini mimi nimeyaona madhara kuna kijana alishambuliwa kwa kudakia na kutukana. Nilisema kama mtu amekomaa kidemokrasia asikilize apime mwenyewe baada ya mkutano. Lakini kwa yule anayejua anakerwa na hana mpango wa kusikiliza ni bora abakie kwake. Leo kuna kijana wa CDM akapiga gari la CCM kwa mawe na alipojaribu kukimbia akazidiwa mbio niwambie imemgharim kuliko angebaki nyumban. Anayesema nimeishiwa sawa tu.

Mkuu Mwigulu,
Kwanza pole kwa kuhenyeka na harakati. Mi naomba tu uniambie najua muda huu upo hotelini unataka kupumzika. Emu niambie leo upo na Mke wa nani? Najua wewe ni dume la mbegu huwezi kulala hivi hivi. Niambie basi Mkuu. Au kama vipi niPM.

Kila siku bwana Nchemba anatoa kauli ile ile ambayo hata waandishi akiwaita wanajua ataitoa kauli hiyo hiyo haiandikiki tena!

'Serikali ni ya CCM na ilani ni ya CCM' kwa hakika bro hata shule ulosoma nna wasiwasi nayo maana arumeru kauli hiyo tumeshaichoka.

Naifananisha na kauli isiyo na mashiko ya kutafuta kura za vijana za EL a.k.a mzee wa bomu la muda.

Leteni kauli mpya...
 
Ila kweli "mayu" amekuwa kimya kweli!
 
Nazdaz nakushukuru kwa kuelewa. Nikwamba mtu anakwenda mkutano sio wa chama chake, pia bila kulazimishwa lakini anataka ageuze mkutano kuwa wakwake. Mtadharau lakini mimi nimeyaona madhara kuna kijana alishambuliwa kwa kudakia na kutukana. Nilisema kama mtu amekomaa kidemokrasia asikilize apime mwenyewe baada ya mkutano. Lakini kwa yule anayejua anakerwa na hana mpango wa kusikiliza ni bora abakie kwake. Leo kuna kijana wa CDM akapiga gari la CCM kwa mawe na alipojaribu kukimbia akazidiwa mbio niwambie imemgharim kuliko angebaki nyumban. Anayesema nimeishiwa sawa tu.

Mwigulu naomba uthibitishe au ukanushe huu uvumi/tetesi uliyoenea kwamba mgombea wenu Sioi Sumari mmemukataza asishirika mdahalo wa wazi na mgombea wa CDM Joshua Nassari. Ukweli ni upi?
 
Inaelekea wewe hukuelewa hoja ya Mwigulu! nazani alichosema Mwigulu ni sahii na kiongozi yeyote hata wa upinzani anastahili kukisema! Kimsingi, alichosema Mwigulu ni kwamba, ikiwa wanachama na wapenzi wa CCM hawawezi kuvumiliaa madongo yanayorushwa na CHADEMA basi ni kheri wasihudhurie mikutano ya CHADEMA kuliko kuhudhuria mikutano hiyo na pale wanaposhindwa kustahimili kuamua kutaka kuanzisha vurugu! Sasa tatizo hapo lipo wapi?! Ni kwamba, kama wanahudhuria mikutano hiyo, basi wawe tayari kuvumilivu chochote kitachosemwa na CHADEMA na kama uvumilivu huo hawana basi wasiende!! Hii ni kauli inayopaswa kutamkwa na kiongozi yeyote asiye mshabiki wa vurugu! Hii ni sawa na Mwislamu kwenda kwenye mahubiri ya Kikristo...lazima uvumilie kusikia kwamba Yesu ni Mungu; huwezi basi usiende! Is like Mkristo anayeenda kwenye mahubiri ya Kiislamu, lazima avumilie kusikia Yesu si Mungu; hawezi basi asiende!! For this, nampa Mwigulu 100% appreciation!
Kama kweli Mwigulu alisema hivi, basi anayemshangaa Mwigulu kwa kutoa kauli kama hii ya kupinga vuru hamnazo
 
Nazdaz nakushukuru kwa kuelewa. Nikwamba mtu anakwenda mkutano sio wa chama chake, pia bila kulazimishwa lakini anataka ageuze mkutano kuwa wakwake. Mtadharau lakini mimi nimeyaona madhara kuna kijana alishambuliwa kwa kudakia na kutukana. Nilisema kama mtu amekomaa kidemokrasia asikilize apime mwenyewe baada ya mkutano. Lakini kwa yule anayejua anakerwa na hana mpango wa kusikiliza ni bora abakie kwake. Leo kuna kijana wa CDM akapiga gari la CCM kwa mawe na alipojaribu kukimbia akazidiwa mbio niwambie imemgharim kuliko angebaki nyumban. Anayesema nimeishiwa sawa tu.
Mwigulu
kama kweli aliyoyaeleza NazDaz hapo juu ndiyo uliyoyasema hata mimi bila hiana
pamoja na kwamba ningependa Nassari ashinde lakini kwa kauli hii nakupongeza
100% naona mdogo wangu unakomaa kisiasa sasa endelea hivy
 
Umeona eeh ile confidence ya Igunga imeporomoka kwa haraka sijui kuna nini nadhani uchaguzi wa Segerea hatakubali kuwa kampeni manager
 
Wana JF,
Ukweli haupingiki,ukiwa mtanzania mwenye akili timamu na uchungu wa nchi yako halafu ukahudhuria mkutano
wa chadema lazima utabadilisha mawazo.Nina marafiki zangu wengi wameihama CCM baada ya kumsikia kijana
Nasari akitoa sera za chama.Hivyo CCM kwa kujinusuru kikaona njia pekee ni kuwakataza wafuasi wake kwenda huko.
 
Inaelekea wewe hukuelewa hoja ya Mwigulu! nazani alichosema Mwigulu ni sahii na kiongozi yeyote hata wa upinzani anastahili kukisema! Kimsingi, alichosema Mwigulu ni kwamba, ikiwa wanachama na wapenzi wa CCM hawawezi kuvumiliaa madongo yanayorushwa na CHADEMA basi ni kheri wasihudhurie mikutano ya CHADEMA kuliko kuhudhuria mikutano hiyo na pale wanaposhindwa kustahimili kuamua kutaka kuanzisha vurugu! Sasa tatizo hapo lipo wapi?! Ni kwamba, kama wanahudhuria mikutano hiyo, basi wawe tayari kuvumilivu chochote kitachosemwa na CHADEMA na kama uvumilivu huo hawana basi wasiende!! Hii ni kauli inayopaswa kutamkwa na kiongozi yeyote asiye mshabiki wa vurugu! Hii ni sawa na Mwislamu kwenda kwenye mahubiri ya Kikristo...lazima uvumilie kusikia kwamba Yesu ni Mungu; huwezi basi usiende! Is like Mkristo anayeenda kwenye mahubiri ya Kiislamu, lazima avumilie kusikia Yesu si Mungu; hawezi basi asiende!! For this, nampa Mwigulu 100% appreciation!
Mwigulu ana mapepo ya uongo ni mwongo kama baba wa uongo. Asemapo uongo asema yaliyo yake kwani yeye ni baba wa huo
 
Back
Top Bottom