Mwigulu Nchemba, kwanini unakataza wananchi wasiende kusikiliza mkutano wa CHADEMA?

MANGUNGO

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
1,536
352
Mwigulu ni wazi umeishiwa sera na hoja,Dr.slaa mumemshindwa kwa hoja,mnabaki kukataza tusiwasikilize cdm,kwanini?k
 
yule anayefuata itikadi ya chama cha mapinduzi kwa kupindua wake wa makada wenzie.
 
Mwigulu ni wazi umeishiwa sera na hoja,Dr.slaa mumemshindwa kwa hoja,mnabaki kukataza tusiwasikilize cdm,kwanini?k

Hawana jipya mkutano wao wa akeri wamezoa wananchi kutoka vijiji vya karibu ili waonekane wanashazi lakini wameshindwa kuvunja umati wa cdm
 
Mwigulu ni wazi umeishiwa sera na hoja,Dr.slaa mumemshindwa kwa hoja,mnabaki kukataza tusiwasikilize cdm,kwanini?k


Inaelekea wewe hukuelewa hoja ya Mwigulu! nazani alichosema Mwigulu ni sahii na kiongozi yeyote hata wa upinzani anastahili kukisema! Kimsingi, alichosema Mwigulu ni kwamba, ikiwa wanachama na wapenzi wa CCM hawawezi kuvumiliaa madongo yanayorushwa na CHADEMA basi ni kheri wasihudhurie mikutano ya CHADEMA kuliko kuhudhuria mikutano hiyo na pale wanaposhindwa kustahimili kuamua kutaka kuanzisha vurugu! Sasa tatizo hapo lipo wapi?! Ni kwamba, kama wanahudhuria mikutano hiyo, basi wawe tayari kuvumilivu chochote kitachosemwa na CHADEMA na kama uvumilivu huo hawana basi wasiende!! Hii ni kauli inayopaswa kutamkwa na kiongozi yeyote asiye mshabiki wa vurugu! Hii ni sawa na Mwislamu kwenda kwenye mahubiri ya Kikristo...lazima uvumilie kusikia kwamba Yesu ni Mungu; huwezi basi usiende! Is like Mkristo anayeenda kwenye mahubiri ya Kiislamu, lazima avumilie kusikia Yesu si Mungu; hawezi basi asiende!! For this, nampa Mwigulu 100% appreciation!
 
For this, nampa Mwigulu 100% appreciation!

Kwa hiyo na kwenye mahubiri kuna matusi kama ya Lusinde?

Basi siendi hayo mahubiri. Maana Lusinde hajasoma kabisa alikimbia umande kwa hiyo akitukana sishangai kwa sababu si msomi anakosa weledi wa kisomi mbele ya waliostaarabika
 
Inaelekea wewe hukuelewa hoja ya Mwigulu! nazani alichosema Mwigulu ni sahii na kiongozi yeyote hata wa upinzani anastahili kukisema!
Hoja yako haina mashiko.

Unapofanya mikutano ni dhahiri anayehudhuria anahitaji kujua na kusikiliza sera zako ili aweze kukupa kura yake.Sasa kumwambia mtu asiende kwenye mkutano wa chama fulani si sahii.Alichotakiwa Mwigulu kuhimiza ni amani na utuliuvu.

Ningemsifu sana kama angelisema hili. Ila kwa kuwa CCM siku zote ndio waanzilishi wa Vurugu, lazima wawe na wazo la vurugu.

Ninafikiri CCM ndiyo wanaitukana CDM kwenye mikutano yao. Nimefuatilia mikutano ya CDM watoa sera tu inayoeleza matatizo ya wameru.

CCM lazima wabadilike... We need ACTION and not POROJO.
 
Hivi ulishaona wapi SHETANI akitaka wafuasi wake waende kusikuiliza neno la MUNGU? SHETANI akishauri hivyo it is like to shoot himself on foot. CCM nao wanafahamu fika, kwamba wakiruhusu wanachama na wapenzi wao kwenda kwenye mikutano ya CDM WATAKOMBOLEWA, Kwasababu watajua mema na mabaya, hulka ya binadamu ataamua kufuata MEMA na kuachana na mabaya (CCM).
 
Hoja yako haina mashiko.

Unapofanya mikutano ni dhahiri anayehudhuria anahitaji kujua na kusikiliza sera zako ili aweze kukupa kura yake.Sasa kumwambia mtu asiende kwenye mkutano wa chama fulani si sahii.Alichotakiwa Mwigulu kuhimiza ni amani na utuliuvu.

Ningemsifu sana kama angelisema hili. Ila kwa kuwa CCM siku zote ndio waanzilishi wa Vurugu, lazima wawe na wazo la vurugu.

Ninafikiri CCM ndiyo wanaitukana CDM kwenye mikutano yao. Nimefuatilia mikutano ya CDM watoa sera tu inayoeleza matatizo ya wameru.

CCM lazima wabadilike... We need ACTION and not POROJO.

Hoja ya nani haina mashiko?! Hoja ni ya Mwigulu, ambayo mie naishadidia....we vipi!!!
 
kwa hilo hata nami namuunga mkono.

Inaelekea
wewe hukuelewa hoja ya Mwigulu! nazani alichosema Mwigulu ni sahii na
kiongozi yeyote hata wa upinzani anastahili kukisema! Kimsingi,
alichosema Mwigulu ni kwamba, ikiwa wanachama na wapenzi wa CCM
hawawezi kuvumiliaa madongo yanayorushwa na CHADEMA basi ni kheri
wasihudhurie mikutano ya CHADEMA kuliko kuhudhuria mikutano hiyo na
pale wanaposhindwa kustahimili kuamua kutaka kuanzisha vurugu! Sasa
tatizo hapo lipo wapi?! Ni kwamba, kama wanahudhuria mikutano hiyo,
basi wawe tayari kuvumilivu chochote kitachosemwa na CHADEMA na kama
uvumilivu huo hawana basi wasiende!! Hii ni kauli inayopaswa kutamkwa
na kiongozi yeyote asiye mshabiki wa vurugu! Hii ni sawa na Mwislamu
kwenda kwenye mahubiri ya Kikristo...lazima uvumilie kusikia kwamba
Yesu ni Mungu; huwezi basi usiende! Is like Mkristo anayeenda kwenye
mahubiri ya Kiislamu, lazima avumilie kusikia Yesu si Mungu; hawezi
basi asiende!! For this, nampa Mwigulu 100% appreciation!
 
Nazdaz nakushukuru kwa kuelewa. Nikwamba mtu anakwenda mkutano sio wa chama chake, pia bila kulazimishwa lakini anataka ageuze mkutano kuwa wakwake. Mtadharau lakini mimi nimeyaona madhara kuna kijana alishambuliwa kwa kudakia na kutukana. Nilisema kama mtu amekomaa kidemokrasia asikilize apime mwenyewe baada ya mkutano. Lakini kwa yule anayejua anakerwa na hana mpango wa kusikiliza ni bora abakie kwake. Leo kuna kijana wa CDM akapiga gari la CCM kwa mawe na alipojaribu kukimbia akazidiwa mbio niwambie imemgharim kuliko angebaki nyumban. Anayesema nimeishiwa sawa tu.
 
Back
Top Bottom