Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwigulu Nchemba chupu chupu kupigwa MERU

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DALLAI LAMA, Feb 5, 2012.

 1. D

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,488
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Dakika chache baada ya kugawa ela pale kilala kwa wazee hata ambao si wapiga kura,kundi la vijana toka sing'isi lilipata taarifa za 'uvamizi huo wa wakati huu'na kujipanga kumpiga mawe ila waliposhuka wakakuta jamaa kaondoka katibu huyo wa fedha wa ccm.wanadai ccm imeshindwa kuwagawia viwanja hususan kile walichomuuzia Aloyce kimaro halafu leo eti wanajipitisha kutaka kura.MWIGULU wanataka uthubutu tena kisa eti 'UCHAGUZI'uone.
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,670
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Kuna uchaguzi gani?mbona upo nusunusu?kajipange upya
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Rais wake anatangaza ukata serikalini yeye anatangaza ukwasi na anagawa hela!!!!!!!!
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,049
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkuu iandike vizuri! Walindeni wake zenu jamaa ni fataki balaa.
   
 5. mamaWILLE

  mamaWILLE Senior Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  hapo umenena jamaa ni balaa kwa wake za watu ama wanawake wasio kuwa na misimamo. Igunga kawalamba ile sana tu
   
 6. m

  mopaomokonzi JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu fuatilia zizuri kilala jamaa alipokewa kwa shangwe sana na mpaka anaondoka ilikuwa kama mhubiri, dk chache zipi mbona nimefuatilia leo tumepiga cm alizoacha yuko Urambo tabora kule
   
 7. m

  mopaomokonzi JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajua ingekuwa kila kiumbe kitakavyo ndicho kinatokea kwa kilio cha kuku mwewe wote wangekufa, huyu jamaa hapigwi kwa kuandikwa JF kwani anapotokea watu wanamshangilia sana
   
 8. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 7,703
  Likes Received: 939
  Trophy Points: 280
  Nayeye mwigulu ajipange atembee na shanti kabisaaaa maana kakazini adhabu ya kutoka na mke na watu ni kukodiwa wazibua chooo wamzibue....
   
 9. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,402
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kamfungulia Dada Mmoja Printing Unit Pale kariakoo!! Na huyu dada ni Hawara Yake!! Duh Jamaa kiboko!!! Printing yote ya magamba anafanya Yeye!! ""Kama sio fisadi Huwezi Kukaa mAGAMBA""
   
 10. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,488
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mbona mnatuchanganya sasa si mlisema huyu jamaa anapendwa sana na watu kupita maelezo sasa ni tena
   
 11. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 924
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Mwigulu Mchemba siku zake zina hesabika,serikali yake haina hata hela ya kujiendesha yeye za kugawa anapata wapi?
   
 12. m

  matawi JF-Expert Member

  #12
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,058
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jamani pamoja na kuwachukia hawa magamba ni vizuri kufahamu mafisadi huwa hayaishiwi pesa maana yana kazi ya kuwaibia watanzania wakati wote
   
 13. K

  KDliverpool New Member

  #13
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamaa anashilikiana na mtoto wa mejengo pacha aka red car
   
 14. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,180
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180

  Uchaguzi wa Mbunge unaotegemewa kufanyika baada ya Mbunge Sumari kufariki!!
   
 15. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #15
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 10,989
  Likes Received: 3,528
  Trophy Points: 280
  twakaa mkao wa kupata maniuz.
   
 16. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #16
  Feb 6, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 5,560
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Nilidhani kanusurika baada ya kufumaniwa na nke wa ntu maana naye kwa kufungulia zipu hajambo.
   
Loading...