MWIGULU NCHEMBA (Campaign Manager) uko wapi?

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Ndugu yangu Mwigulu Nchemba ulitamka tena kwa dharau hapa kwamba JUA LITATOKEA MAGHARIBI KUELEKEA MASHARIKI endapo CDM itashinda Arumeru uko wapi?
 
Yuko hoi, anafikiria jinsi ya kuandika report ya uchaguzi mdogo Arumeru, atasema nini kwa mabosi wake!! alidhani kila mahali ni IGUNGA!!
 
Ingawa nimefurahia CCM kushindwa
but ukweli Mwigullu Nchemba ni kifaa
hata hizo kura alizopata Siyoi ni Mwigulu kwa kiasi kikubwa kasaidia
vinginevyo angeshindwa kwa aibu....kubwa

Mwigulu ana kipaji kikubwa mno cha siasa
ana uwezo wa kuongea na kushawishi watu......
ni aset kwa CCM.....
wangekuwa na mgombea mzuri who knows....
 
Mgombea mzuri hawezi toka CCM kamwe!
 
Back
Top Bottom