Mwigulu Nchemba Balaaaaa

Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.

Mawazo mufilisi! Hivi huyu unamlinganisha na nani CDM? Mh. Mdee au Mh. Regia hawafikii hata robo.
 
Tunaskia sana CDM wanavyojieleza na kutoa HOJA zao. wanatoa maelezo ambayo yanadumbukia kwenye akili yako na kueleweka.. ila kwa kweli CCM sijaskia LOLOTE.. Mbali na Bastola, Kubaka, Futuhi-ze komedy ETC, sijasikia Kipya. Mkapa kasema CCM imeleta maendeleo kwa kuiwezesha NMB kujiendesha pasipo ruzuku za serikalini (Hiyo hoja inauzika kweli?)..

Katibu Mkuu mstaafu mangula akasema wananchi wa Igunga sasa wana uwezo wa kununua baiskeli (Kha kwenye ulimwengu wa Teknohama you talk about baiskeli kweli..).. mwenzake Wilson Mukama akaenda mbali zaidi na kusema CDM wameleta alkaeda kutoka afghanistan.(asee inachanganya kweli..) CDM haohao wapigwe Ban na Bakwata kwa inshu ya ze-Hijabu, then Cdm hao hao walete makomandoo kutoka kule zilipotunga na kuanzishwa hijabu hizo.. ni hoja au matakataka..

Mwigulu na wenzake ndo hao mara huyu kabaka yule, mara huyu kapanda jukwaani na bastola kisha hakuna anachokizungumza.. Ukimsikiliza Mbowe, Slaa, Zito yaani unapata kitu ndani ya speech zao.. hata wanaotoa thread ambao kimtazamo ni wakereketwa wa chama hicho wanachokiita magamba .. threads zao hazina kichwa wala miguu.... zipozipo tu.. Sisi tunahitaji Hoja humu Jamvini.. Tujuzane tujue kinachoendelea
 
Hilo kweli mwigulu ni noma.sijui alikuwa wapi siku zote hizo.nilimuona jana mlimani tv akimwaga hoja nzitonzito na kuwafunika mtatiro wa cuf na zitto wa chadema.
Alikuwa busy na wanazuoni wa kiislam wakianda tamko la kulaani bi Fatma Joseph kuvuliwa ushungi na kusafisha shamba la bi Fatma la kitimoto kule Tegeta.What a pity!
 
Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.

Huyu si alifumaniwa na mke wa Ustadhi mmoja ndani ya CCM mbona sisikii matamko?
 
Ukweli utadhihirika jmosi kwaimba nani ni noma....!! Sidhani kama wana Igunga ni wana umaskini wa kufanya maamuzi juu ya maisha yao that much...!!! Just a piece of advice to Igungaz residents-HIZO SUKARI NA VYAKULA MNAVYOLETEWA WALA MSIVIKATAE VITUMIENI KISAWASAWA ILA KURA MPENI MTU AMBAE ATASAIDIANA NA NYIE KUBADILI MAISHA YENU...!!! Nawatakia upigaji kura wa amani...
 
image003.jpg
 
Propaganda at power!

Vijana wa jinsia gani unaoongelea?
Kama wa kike labda, maana twabia yake huyu bwana inajulikana!
 
sikutegemea anguko la ccm lingekuwa fasta fasta namna hii - i think they got wrong people to address the part issues to public - its costing them maskini.
 
Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.

Aah, tayari jamaa kishaonesha urijali wake,
hizi sifa anazopewa zinadhihirisha haya...
 
Kamwambieni boss wenu aongeze nguvu nyingine,nyie bado wachache sana hasa mnapoleta habari za kupika,TUWEKEE PHOTO TUONE kama kweli.
 
Huyu Mwigulu Namfahamu sana, Ni fisadi wa Kupindukia.... Pale kariakoo kamnunulia dada Mmoja wa Kichagga Mashine ya Kumprint Nyaraka Zote za Chama, Huku huyo dada akiwa ni Mpenzi wake wa Karibu!! Kweli Magamba wote wamewekwa na Masilahi ndani ya Chama chao Huku wajinga wakishangilia kwa Kupiga Makofi na Kuchekelea THE COMEDY NA HADIJA MAKOPA
 
Ni kweli Nchemba ni balaa, alidhihirisha ubalaa wake pale alipoamua kutungua mke wa mtu tena kada mwenzake na kibaya zaidi wako kwenye kamati ndogo ya kampeni ndani ya chama chake. Chama kimenyamaza kimya wakati walikuwa wanampigia kelele Dkt. Slaa kuhusu Josephine.

Mzee Slaa kaweka mali ndani na ana mtoto tayari kwa huyo Josephine, je Nchemba ana mpango gani na huyo mke wa mtu, kada mwenzake?

Najua Magamba watakuja na utetezi kuwa Nchemba alikuwa hajaanza kuvua chupi kabla soo haijabumbuluka...teh..tehh
 
Ulikuwa miongoni mwao waliokesha kuimba nyimbo za ccm, je hapo bado unakata kuwa wewe si mtumwa?????????????????? ccm bana ikiwapatia walalahoi wasiotaka kusumbua ubongo inawatumia kweli.

Huwezi amini jengo la ccm kijijini kwetu wamepangishiwa watu wanaishi hakuna wanachama na hii sitani. sasa hao wanaokesha usiku kuimba nyimbo za ccm sijui ni wageni hapa TZ au ni wale tu kwao maendeleo ni kipande cha kanga, Kofia na pengine chakula cha mchana au kusafirishwa kupelekwa kwenye viwanja vya kufanyia kampeni.?????????????????
 
Huyu jamaa ni hatari sana sana na ameivuruga CDM vibaya sana. Kbla hajaja hapa Igunga vijana wengi sana kama si wote walikuwa CDM,, sasa huyu alipokuja amewabadilisha mbaya na mpaka jana usiku ilidhihirika pale vijana walipokesha huko Isakamaliwa wakiimba nyimbo za CCM. Ikiwa CDM itashindwa, basi mtu aliyewaangamiza atakuwa Nchemba maana jamaa ana mvuto kwa vijana na anajua kuutumia mdomo wake. Ngoja tuangalie leo kitatokea nini, ila hali ndivyo ilivyo hapa kwenye dakika hizi za lala salama.[/QUOT

kwa jinsi unavyomsifia mwaume mwezio!!,malizia kwa kumpa mkeo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom