Mwigulu Nchemba atuzwa mapesa bungeni kwa kuitukana CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Pumbavu mwigulu, Pumbavu walompa hela, pumbavu ccm, wapuuzi na wajinga, na serikali yao ya kipuuzi, dhaifu legelege! acha wafu wazikane wao kwa wao!!!!!!!!
 
Mbunge wa Iramba Mwigulu Nchemba (CCM), juzi alituzwa Sh210,000 na wabunge na mawaziri wa CCM baada ya kumwaga matusi na kuiponda bajeti ya upinzani na kuiita ni ya kipuuzi na haitekelezeki, wapinzani wamejaa uigizaji na kumrushia kombora Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe kuwa anawahadaa Watanzania kwa kukataa gari kuukuu, na baada ya ya kupewa jipya alikubali kimya kimya.

Nchemba akizungumza na waandishi nje ya bunge, alisema jumla ya fedha alizopewa na wabunge na mawaziri kadhaa zilifikia Sh210,000.Aliwashukuru wabunge wote wa CCM kwa kuona mchango mzuri aliotoa bungeni kwa maendeleo ya Taifa

Source:Mwananchi
Sijui ni aina gani ya upofu ambao ccm imeupata mpaka kushabikia alichokifanya Mwigulu.. wangefumbuliwa macho waone wapiga kura wao wamechukuliaje hilo na wataamua nini wakati utakapowadia hakika kitawagharimu, wamesahau kuwa wanaowaongoza wanatafakari tofauti na wao wanavyotafakari.. hakika ukombozi wa nchi yetu uko ukingoni..
 
Nitashangaa sana kama wapiga kura watamrudisha mwigulu bungeni 2015.
Nitawaona ni kama misukule iliyofungiwa pangoni kwa kulishwa pumba ili hali huyo aliyewafungia anapinga walilishwe mahindi na kuwaacha waendelee kula pumba.
 
Wasanii wanapokuwa kwenye maigizo na wanapofaulu kuigiza huwa wanatuzana.....hawakuwa na jipya bali kututhibitishia usanii wao....

Halafu wakiitwa machizi wanakuwa wakali! Sisi walipa kodi tunapigika kimaisha wao wanaitumia hiyo kodi yetu kuwatuza watoa mipasho bungeni! nafikiri na sie tuliowapigia kura ya kuwaingiza mjengoni ni machizi zaidi!!!
 
Walimuongezea pesa ya kuwapa madada akina mrs emmy.Cos angekuwa na lamana tz isingekuwa ya mwisho kiuchumi duniani. Sema yy alisomea uchumi wa kuendeleza ma mrs wa watu. Halafu eti anashinda na bendela ya taifa shingoni, naomba aache ufedhur huo mara moja.
 
Pia alisema ana Degree ya uchumi first class, hivyo anaujua sana uchumi. Pengine ndiyo maana hata kule Igunga alijitahidi asifumaniwe
ana digrii ya uchumi first anaitumia wapi? hayo matusi anyomwaga alisomea katika course gani? mi nafikiri ana first class ya digrii ya matusi na umbea.
 
Mbunge wa Iramba Mwigulu Nchemba (CCM), juzi alituzwa Sh210,000 na wabunge na mawaziri wa CCM baada ya kumwaga matusi na kuiponda bajeti ya upinzani na kuiita ni ya kipuuzi na haitekelezeki, wapinzani wamejaa uigizaji na kumrushia kombora Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe kuwa anawahadaa Watanzania kwa kukataa gari kuukuu, na baada ya ya kupewa jipya alikubali kimya kimya.

Nchemba akizungumza na waandishi nje ya bunge, alisema jumla ya fedha alizopewa na wabunge na mawaziri kadhaa zilifikia Sh210,000.Aliwashukuru wabunge wote wa CCM kwa kuona mchango mzuri aliotoa bungeni kwa maendeleo ya Taifa

Source:Mwananchi

Matusi ndo mtaji halisi wa ccm maana ili uwe mwanasiasa bora kwa ccm ni lazima utukane. Gharika ya mungu na ikushukie chemba la maji taka
 
Mbunge wa Iramba Mwigulu Nchemba (CCM), juzi alituzwa Sh210,000 na wabunge na mawaziri wa CCM baada ya kumwaga matusi na kuiponda bajeti ya upinzani na kuiita ni ya kipuuzi na haitekelezeki, wapinzani wamejaa uigizaji na kumrushia kombora Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe kuwa anawahadaa Watanzania kwa kukataa gari kuukuu, na baada ya ya kupewa jipya alikubali kimya kimya.

Nchemba akizungumza na waandishi nje ya bunge, alisema jumla ya fedha alizopewa na wabunge na mawaziri kadhaa zilifikia Sh210,000.Aliwashukuru wabunge wote wa CCM kwa kuona mchango mzuri aliotoa bungeni kwa maendeleo ya Taifa

Source:Mwananchi

Mwigulu Jembe, uzi ni ule ule, hakuna haja ya kusubiri watie maji kichwani, tuwanyoe kavukavu tu. Na 2015 watafika hawana nywere.
 
Nitashangaa sana kama wapiga kura watamrudisha mwigulu bungeni 2015.
Nitawaona ni kama misukule iliyofungiwa pangoni kwa kulishwa pumba ili hali huyo aliyewafungia anapinga walilishwe mahindi na kuwaacha waendelee kula pumba.

wewe ndiye msukule na mzimu na mzoga.Mwigulu ni Jembe.CCM OYEE
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom