Mwigulu Nchemba ataka msajili wa vyama kusitisha Operesheni Sangara za CHADEMA

Mwigulu ni mazalia ya cancer.Jaribu mfikiri katika maisha ya ccm ajikute kawa prime minister?Hakafu akutane na akina clinton atakavyojichekesha na ujinga mwingine kuna uwezekano akarudisha umanamba wa babu zake.
 
Dr. Mkumbo for Iramba Magharibi 2015!! Yes, the change we believe!!
Wewe umeandika tu, Dr. Nkumbo ni zao la CCM (Akiwa kiongozi wa DARUSO na baada ya hapo CCM ilikuwa naye bega kwa bega). Namshauri kurejea kwenye chama chake, CCM.
 
sasa weee unafanya nini kwenye huu uzi amabo unauita pumba? jamaaa anawawasha kinoma, mkiona jina lake tu, hao mshaingia yaani ni sawa swa na mtu anayebanwa haja, akiona kichaka tu....tayari. Hii ni wasap sana you know!

Mwigulu nafasi yake ya kujijenga na hata kupata nafasi kubwa kwenye chama chake baadaye kama kijana mwenye hekima haipo tena. Credibility yake imeporomoka sana. Jana nilikuwa kwenye basi natokea Mwanza, nikawa nabadilishana mazungumzo na jamaa kwenye basi, kwa mazungumzo yale niligundua Mwigulu hayupo kwenye chati hata kidogo. Mzee mmoja wa CCM alinifurahisha sana alipokuwa anasema "Mwigulu ni kama mtu aliyekuwa nyama ya mtu. Inaonyesha muda wake mwingi anatumia kwa wanawake na si kufikiri ni jinsi gani ya kujijenga kama kijana. Haonekani kama msomi hata kidogo"
 
Ina maana msajili wa vyama vya siasa siku hizi anatoa kibali cha mikutano!
Ma CCM bwana Kama vile bungeni wanavyofanya huko wanadhani Tendwa naye afanye hayo hayo shame on you guys .OP sangara itakuwepo for sure
 
Kwa muda mrefu CHADEMA wamekuwa wanafanya kampeni mbalimbali maeneo tofauti, lakini kwa siku za karibuni kampeni hizo maarufu kama M4C zimepoteza mwelekeo hadi kupelekea mauaji hivi karibuni huko Singida, sasa wameamua kuja na staili tofauti ya kujisingizia mambo mbalimbali ili kujiongezea umaarufu, kama madai ya kutishiwa maisha na vyombo vya ulinzi au kupindisha kanuni mbalimbali wakiwa bungeni, ili kiongozi wa bunge awachukulie hatua wazidi kuongeza umaarufu, ushauri wangu ni huu... Sasa wajikite kuwatafutia maendeleo wananchi majimboni mwao badala ya kupoteza muda kujikita katika mambo yasiyo na msingi, kwa mfano Mnyika kwenda Singida kusikiliza kero za wananchi wakati jimboni kwake kuna kero kibao.

Nawasilisha!
 
hakuna kulala mpaka wakati wa Uchaguzi wa rais 2015 sijui lini watafanya kazi au ndio maana ya upinzani kila siku kumbana mtawala asiibe au kupendelea? Ngoja tuone hiyo 2016 -2020 TZ itakavyoneemeka MUNGU tupe UHAI
 
OK WEWE NI MJUMBE WA MWIGURU MWAMBIE HAKUNA KULALA HATA WAKIKOP SIMU ZA WABUNGE WA CHADEMA NI UTOTO WA KISIASA WA CCM KIDS MWIGURU NA NAPE MTALIA SANAQUOTE=kipuri;4287380]Kwa muda mrefu CHADEMA wamekuwa wanafanya kampeni mbalimbali maeneo tofauti, lakini kwa siku za karibuni kampeni hizo maarufu kama M4C zimepoteza mwelekeo hadi kupelekea mauaji hivi karibuni huko Singida, sasa wameamua kuja na staili tofauti ya kujisingizia mambo mbalimbali ili kujiongezea umaarufu, kama madai ya kutishiwa maisha na vyombo vya ulinzi au kupindisha kanuni mbalimbali wakiwa bungeni, ili kiongozi wa bunge awachukulie hatua wazidi kuongeza umaarufu, ushauri wangu ni huu... Sasa wajikite kuwatafutia maendeleo wananchi majimboni mwao badala ya kupoteza muda kujikita katika mambo yasiyo na msingi, kwa mfano Mnyika kwenda Singida kusikiliza kero za wananchi wakati jimboni kwake kuna kero kibao.

Nawasilisha![/QUOTE]
 
Naamini wewe unayeweza kuandika hivi ni aidha wasira au mwigulu chenba la chooo maana tanzania hii wao ndio wanaoendelea kudhani eti ccm ni chama na kumbe nchi imeamka wanaelewa kuwa ccm ni majambazi na mazinzi tu hapa tz
hakuna kulala mpaka wakati wa Uchaguzi wa rais 2015 sijui lini watafanya kazi au ndio maana ya upinzani kila siku kumbana mtawala asiibe au kupendelea? Ngoja tuone hiyo 2016 -2020 TZ itakavyoneemeka MUNGU tupe UHAI

a
 
kwa staili hii wakirudi 2015 wananchi watawauliza wamefanya nini katika miaka mitano iliyopita, zaidi ya kuzunguka tu kwenye majimbo ya wenzao, Zitto amejifunza kitu, mwaka 2010 ilibakia kidogo apigwe chini
 
Naamini wewe unayeweza kuandika hivi ni aidha wasira au mwigulu chenba la chooo maana tanzania hii wao ndio wanaoendelea kudhani eti ccm ni chama na kumbe nchi imeamka wanaelewa kuwa ccm ni majambazi na mazinzi tu hapa tz

a

atufigwege mwandule, ughonile!!?
We umejiunga lini na CHADEMA, au ndio wale mamluki
 
Ndg,
kutafuta umaarufu ndiyo dira/lengo la kila chama siasa - maana yake kijulikane na watu wote ndiyo maana CHADEMA under M4C wanakwenda hadi vijijini kujinadi ili kujipatia umaarufu hatimaye kiiungwe mkono/kikubalie na watu wote

hata chama tawala kinatafuta umaarufu kwa kundi la vijana ambao walio wengi wanaonyesha wazi kuwa hawakitambui

kama chama hakitafuti umaarufu hicho kimejifia chenyewe

issue hapa ni jinsi gani umaarufu unatafutwa - yaani zinazo tumika
 
​inabidi uwe na roho ya shetani kuipenda ccm maana wameiua nchi hii kuliko chochote
 
Ndg,
kutafuta umaarufu ndiyo dira/lengo la kila chama siasa - maana yake kijulikane na watu wote ndiyo maana CHADEMA under M4C wanakwenda hadi vijijini kujinadi ili kujipatia umaarufu hatimaye kiiungwe mkono/kikubalie na watu wote

hata chama tawala kinatafuta umaarufu kwa kundi la vijana ambao walio wengi wanaonyesha wazi kuwa hawakitambui

kama chama hakitafuti umaarufu hicho kimejifia chenyewe

issue hapa ni jinsi gani umaarufu unatafutwa - yaani zinazo tumika

mkuu nimekupata vizuri, lakini hapa mimi naongelea umaarufu wa kijinga, mfano hizi stori kwamba slaa anatishiwa kuuwawa, hivi inawezekana watu wapange kumuua huyu mzee halafu washindwe?
 
Wewe Mwigulu hebu tuondolee pumba zako hapa jamvini. Pumba zako peleka kwa magamba wenzio.

Kwa muda mrefu CHADEMA wamekuwa wanafanya kampeni mbalimbali maeneo tofauti, lakini kwa siku za karibuni kampeni hizo maarufu kama M4C zimepoteza mwelekeo hadi kupelekea mauaji hivi karibuni huko Singida, sasa wameamua kuja na staili tofauti ya kujisingizia mambo mbalimbali ili kujiongezea umaarufu, kama madai ya kutishiwa maisha na vyombo vya ulinzi au kupindisha kanuni mbalimbali wakiwa bungeni, ili kiongozi wa bunge awachukulie hatua wazidi kuongeza umaarufu, ushauri wangu ni huu... Sasa wajikite kuwatafutia maendeleo wananchi majimboni mwao badala ya kupoteza muda kujikita katika mambo yasiyo na msingi, kwa mfano Mnyika kwenda Singida kusikiliza kero za wananchi wakati jimboni kwake kuna kero kibao.

Nawasilisha!

Wewe Mwigulu hebu tuondolee pumba zako hapa jamvini. Pumba zako peleka kwa magamba wenzio.

BAK kila mtu anaetofautiana na wewe kimtazamo basi ni Mwigulu, duh! Unamuogopa sana jamaa.. Lile ni jembe na kadri unavyomtaja ndio unamuongezea umaarufu
 
Unazidi kuonyesha upumbavu wako wa hali ya juu. Pumba zako peleka kwa magamba wenzio. Naona mnatapatapa huku na kule ili msipoteze nchi 2015. Mko radhi hata kusababisha damu kumwagika ili mbaki madaraka kwa kupitia vyombo vya dola vya magamba.

Wabongo tumeshawachoka mafisadi nyie kazi yenu kubwa ni kuiba pesa za walipa kodi na kusaini mikataba feki na huku nchi ambayo ina utajiri mkubwa sana ikibaki nyuma kimaendeleo mwaka hata mwaka.
 
kuna mjinga mwenzio kapandishwa kizimbani kwasababu ya matusi kama hivi, unashindwa kujenga hoja unatukana tuuu, shenzi taip...
 
Kwa magamba anaonekana mjinga lakini kwa CHADEMA au nchi nyingine yoyote ile anaonekana ni msomi mwenye kujua kupanga hoja za hali ya juu na uwezo wa kuongoza ndio maana UDSM wakampa promotion.

Nchi imewashinda kwenye kila kitu hakuna hata moja ambalo mnaweza kujipiga kifua kwamba hili tumefanikisha lakini bado mnang'ang'ania kuendelea kuwepo madarakani. Kikwete DHAIFU, Pinda DHAIFU, Msekwa DHAIFU na Serikali yote DHAIFU sasa mmeanza kutumia vyombo vya dola ambavyo navyo ni DHAIFU wawafanyie uhuni wenu wa kuwaua Watanzania. Mtake msitake 2015 lazima muondolewe Ikulu na Bungeni.

kuna mjinga mwenzio kapandishwa kizimbani kwasababu ya matusi kama hivi, unashindwa kujenga hoja unatukana tuuu, shenzi taip...
 
mkuu nimekupata vizuri, lakini hapa mimi naongelea umaarufu wa kijinga, mfano hizi stori kwamba slaa anatishiwa kuuwawa, hivi inawezekana watu wapange kumuua huyu mzee halafu washindwe?
a scientific mission can not fail, kwa hoja ya Dr jaribu kufikiri kwa kina halafu compare na waliotangulia kutamka haya maneno then recognize what happened after that

sidhani kama kusema nafutwa ili niiuawe ni kutafuta umaarufu halafu uwe wa chama hapo ndipo unapo kalanganya

Back
Top Bottom