Mwigulu Nchemba ana kesi ya kujibu kabisa

Vijana technolojia ni yenu,
muitawale muitumie,
kuleta mabadiriko.

Hawa Nunda bado wameikumbatia jana,
waonyesheni kwamba,
umri wenu ni mdogo,
lakini kazi yenu ina umri na chumvi nyingi.

Muda wa kujificha nyuma ya mabo ya kutunga,
umekwisha,
Ni wakati wa kukabiliana na ukweli uso kwa uso,
Ya mafichoni kuwekwa hadharani,
Ya kizani kutiwa nuru.

Wakati ni huu.

masalia ya shaban robert
 
Nimejaribu inaniambia wrong picode! Hiyo picode ni ngapi?

lazima uinunue kwa kulipia kama una visa au master card. ukiweka cursal pale, itakuletea nchi ambako unaweza kulipia hiyo pin code, sasa ukibonyeza sehem ya kati, mchakato wa kulipia unaanza. siyo bure, na unalipia kwa euro.

5 sms=3 euro
10 sms = 5euro na kuendelea
 
Hivi huyu ndo alitoka na First Class UD or? Huo ndiyo ulikuwa upeo wake wa kufikiri............. alidhani siri. Ataisoma!
 
Hivi huyu ndo alitoka na First Class UD or? Huo ndiyo ulikuwa upeo wake wa kufikiri............. alidhani siri. Ataisoma!

unajua ukiwa chuoni ambapo degree imeshikiliwa na mtu mmoja, inawezekana ukapata 1st class, lakini ulikuwa huistahili. udsm sociology class ya 2009, wana mfano wa watu hao, na mkandala aliwahi kumfanyia hayo kili akamsiliba bash. kwa hiyo yapo
 
Wajua hapa hakuna la kushangilia kwa CDM wala kwa chemba. Maana kama tech yenyewe ni rahisi kiasi hiki basi hakukuwa na haja ya kununua mtambo toka Islael for one time act kama hii. Labda kama chemba team walitaka pia kudoea maongezi ya walengwa wao! labda....
 
Sasa yule f**L* kwa akili yake ya ukwaju akadhani hapo ndo kaibua issue kweli! Nyambafu zake!
 
Watu tujifunze kuwa wa kweli na waadilifu. Sidhani kama kufanya ghiliba husaidia kwa vyovyote vile. Tena tujue kuwa twaweza kufanya jambo moja kwa wakati mmoja na muda wa maisha ni mfupi. Hivyo tufanye mambo mazuri ambayo tutakumbukwa kwayo. Kiongzi unayetegemewa kuwa mpuuzi kiasi hiki ni aibu kwako na wapendwa wako.
 
mwiguli ni kijana mdogo lakn ana2mia mbinu za kzee...wapo wacheche wame2pora ccm ye2 ha2na kmblio.....mchamba ame2salit vjana na mwsho wake utakuwa mbaya kwani ndio m2 anae chukiwa na vjana wng tz...juz kuna jamaa kaamibwia ana tabia kama mchemba akapgana kwan mwigulu lmekuwa 2c
 
Wajua hapa hakuna la kushangilia kwa CDM wala kwa chemba. Maana kama tech yenyewe ni rahisi kiasi hiki basi hakukuwa na haja ya kununua mtambo toka Islael for one time act kama hii. Labda kama chemba team walitaka pia kudoea maongezi ya walengwa wao! labda....

mtambo si kwa ajili ya sms una kazi nyingi moja wapo ni kuingilia mitambo ya mawasiliano kuifanya simu yako isiwe hewani na wao kuitumia
 
Mkuu naomba kujua kitu kimoja je ukienda kupata print out kwenye mobile operator unaweza kupata na hii SMS na ikaonyesha imetoka wapi kwenye mitandao ya hawa operators naomba unipe jibu mkuu tafadhali sana sana
lazima uinunue kwa kulipia kama una visa au master card. ukiweka cursal pale, itakuletea nchi ambako unaweza kulipia hiyo pin code, sasa ukibonyeza sehem ya kati, mchakato wa kulipia unaanza. siyo bure, na unalipia kwa euro.

5 sms=3 euro
10 sms = 5euro na kuendelea
 
Mimi nashangaa watanzania. Hivi kweli Mwigulu Nchemba ndiye mtu wa kupotezea watu mida? Kweli kweli hili suala tulipe uzito wowote kweli!!! Badala ya kufikiria watoto wetu wenye uwezo darasani lakini hawezi kulipa ada watafika vipi huko mbele kukidhi ndoto zao katika maisha.

Tushindwe kudiskasi wakulima wa pamba au korosho wanavyoibiwa pesa zao katika mauzo. Leo hii tuanze kudiskasi ukurutu wa mawazo ya mtu ambaye anaamini Tanzania ni moja ya mali yake.

Let us be serious, haya mambo ya Mwigulu ni upepo tu, CCM wanajua wakifanyacho na kuna aidha mtu au kundi nyuma ya Mwigulu. Ukibishana na mwendawazimu wewe ndiyo utaonekana ndiye mwendawazimu kupita maelezo.

Tanzania tupo watalaamu wa Digital Forensic, si lazima tulipwe kwa manufaa ya Taifa. Na mimi nikiwa mojawapo nitakuwa tayari kushiriki kwenye uchunguzi iwapo suala hili litawa-distract watanzania off the real issues.

Sasa turudi kwenye real issues and solutions.
THINK BIG.
 
Mwigulu si wa kujadiliwa hapa hana value yeyote ile si kiongozi ,Kijana mpanga mauaji,kufitinisha wabunge wanziwe,na kukandamiza upinzani hapaswi hata kuzungumzwa ni sawa na choo au chemba kama jina lake
 
Watu tujifunze kuwa wa kweli na waadilifu. Sidhani kama kufanya ghiliba husaidia kwa vyovyote vile. Tena tujue kuwa twaweza kufanya jambo moja kwa wakati mmoja na muda wa maisha ni mfupi. Hivyo tufanye mambo mazuri ambayo tutakumbukwa kwayo. Kiongzi unayetegemewa kuwa mpuuzi kiasi hiki ni aibu kwako na wapendwa wako.

sina imani kama mhusika atakubali ushauri wako, yeye siku zote amekuwa akitamani kuifanya kazi ya Nape, anajihisi yeye ndo anafa zaidi. Wapendwe wake akina ritz1, zomba, njiwa, mkuu rejao, katiba mpya to mention few naamini watapita hapa, watapata ujumbe na kumpelekea mhusika.
 
Mimi nashangaa watanzania. Hivi kweli Mwigulu Nchemba ndiye mtu wa kupotezea watu mida? Kweli kweli hili suala tulipe uzito wowote kweli!!! Badala ya kufikiria watoto wetu wenye uwezo darasani lakini hawezi kulipa ada watafika vipi huko mbele kukidhi ndoto zao katika maisha. Tushindwe kudiskasi wakulima wa pamba au korosho wanavyoibiwa pesa zao katika mauzo. Leo hii tuanze kudiskasi ukurutu wa mawazo ya mtu ambaye anaamini Tanzania ni moja ya mali yake......

mkubwa, hapo kwenye rangi, ni kwa sababu ya watu kama akina mwigulu, waovu, wanaofanya uovu halafu wanatengeneza mazingira waonekane wao ni safi na wapinzani wao ndo waovu. sasa suala hili likiachwa bila kusemwa, bila kujadiliwa na kuchukuliwa hatua, Mwigulu atawahadaa watanzania waliowengi na hivyo ataibuka kidedea kwenye ulingo wa siasa

kumbuka kuwa wewe unaona hakuna umhimu wa kujadili uovu wa Mwigulu kwa sababu shule unayo, unaelewa kuchambua mambo na unaweza kutambua hila ya mtu. Lakini majority tanzanian hawahitaji uchambuzi, just a fact wao wanahama hisia na matendo kabisa. kwa hiyo iwapo Mwigulu akiachwa, atatawazwa mshindi kwa hila zake. sio vizuri.

SWALI KWAKO MKUU.

Imei namba itakayoonekana ni ipi kati ya simu inayotumia namba uliyo iingilia na simu yako
 
Back
Top Bottom